Jiji ni daladala huwa halijai mkuu, toka watu wameanza kuingia halijawahi kujaa..."survival of the fitest" ndiyo itakurudisha ulikotoka tu...Makumbusho palisha jaa mkuu andaa nauli tu ya kurudi kijijini
Sijui walishindwa nini kuandika, "Kituo cha daladala Mwenge chabomolewa kupisha upanuzi wa barabara"?
Jiji ni daladala huwa halijai mkuu, toka watu wameanza kuingia halijawahi kujaa..."survival of the fitest" ndiyo itakurudisha ulikotoka tu...