Picha: Muna love akiwa na Zari...

warumi

R I P
May 6, 2013
16,298
2,000
Ninachompendea Muna ana Tabia ya kujipendekeza kwa watu waliofanikiwa. Muna Siku hizi ka upgrade uchawa, kutoka kuwa mbeba mapochi wa wema, lulu hadi kuwa Karibu na bosslady Zari , kweli muna mtoto wa mjini anajua kutumia fursa, ana akili sana za biashara.

Tunaomjua muna wa miaka hiyo ambaye alikua chawa pro max wa lulu michael , baadae akahamia kwa wema sepetu . Muna huyu huyu alikua mbeba pochi wa wema, ila sasa hivi bata analokula maisha anayoishi hata wema mwenyewe hawezi kuyamudu, Muna alikua omba omba tu .

Muna huyu huyu alikua anatukana sana mitandaon matusi ya nguon kwa ajili ya lulu , watu wanatafuta umaarufu kwa gharama.

Muna ni mjanja mjanja sana, kana usanii flan hivi ila ninachompendea ni anavyojua kutengeneza connection za watu wa maana, Muna na form four failure yake anajuana na watu wakubwa sana Tanzania na nje ya Tanzania , kanajua sana kujipendekeza kwa watu wa maana, anapenda sana kujisusha kwa waliomzidi hili apate anachokitafuta.

Ila kamuna kalikua kachawi sana Jaman , kadada kalikua kanashinda kwa waganga wiki nzima na crew yake akina lulu na wema. Ka lulu msikaone vile , katoto kachawi sana kale, msione kimeolewa na millionare mkasema ana bahati mxiew, sasa wewe shinda apo ukisubiria bahati ya kuolewa na millionare wakati wenzio walikua wanalala makaburini, ngoja niishie hapa domo langu halinaga break
IMG_2552.jpg
 
warumi

R I P
May 6, 2013
16,298
2,000
unajikuta unalala miaka 6 na bado ikawa bila bila

Nini miaka 6, tatizo lije Dinazarde alale makaburini miez minne apate billionare , warumi mie kila siku usiku naoga njia panda na kupasua nazi naishia kutongozwa na waendesha boda pale element, lazima nimchenjie dinazrde kaniibia nyota yangu

Mi nasemaga raha ya kuroga karoge mwenyewe, haya mambo ya kuroga na my bff, Sijui nani siku mmoja akifanikiwa kuliko mwingine lazima siri zitoke nje
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
35,062

Hahahaha kama kili Janga na miriam odemba🤧🥵! Wadada wa mujini mnakazi🙌
 
Abigail Nabal

JF-Expert Member
Sep 2, 2020
989
1,000
Wee shoga chezeya kuolewa na Billionare , watu wanalala hadi na maiti c bora kulala kaburin
Hahaa mji mzito huu
Nawaza mwenyewe nlivokazana kuwasifia oh wana bahati wana bahati ..kumbe wamezitafuta..
Kama bahati zenyewe zinapatikana hivo hapana
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
12,796
2,000
Ninachompendea Muna ana Tabia ya kujipendekeza kwa watu waliofanikiwa. Muna Siku hizi ka upgrade uchawa, kutoka kuwa mbeba mapochi wa wema, lulu hadi kuwa Karibu na bosslady Zari , kweli muna mtoto wa mjini anajua kutumia fursa, ana akili sana za biashara.

Tunaomjua muna wa miaka hiyo ambaye alikua chawa pro max wa lulu michael , baadae akahamia kwa wema sepetu . Muna huyu huyu alikua mbeba pochi wa wema, ila sasa hivi bata analokula maisha anayoishi hata wema mwenyewe hawezi kuyamudu, Muna alikua omba omba tu .

Muna huyu huyu alikua anatukana sana mitandaon matusi ya nguon kwa ajili ya lulu , watu wanatafuta umaarufu kwa gharama.

Muna ni mjanja mjanja sana, kana usanii flan hivi ila ninachompendea ni anavyojua kutengeneza connection za watu wa maana, Muna na form four failure yake anajuana na watu wakubwa sana Tanzania na nje ya Tanzania , kanajua sana kujipendekeza kwa watu wa maana, anapenda sana kujisusha kwa waliomzidi hili apate anachokitafuta.

Ila kamuna kalikua kachawi sana Jaman , kadada kalikua kanashinda kwa waganga wiki nzima na crew yake akina lulu na wema. Ka lulu msikaone vile , katoto kachawi sana kale, msione kimeolewa na millionare mkasema ana bahati mxiew, sasa wewe shinda apo ukisubiria bahati ya kuolewa na millionare wakati wenzio walikua wanalala makaburini, ngoja niishie hapa domo langu halinaga break
View attachment 1795328
Nyuzi kama hizi huletwa na walevi pombe za viroba ambazo siku hizi zinapimwa kwenye glass
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom