muna love

Kami nAPO Muna ULIT is the second and final compilation tribute album recorded to honor the 1970s Filipino musical group, APO Hiking Society. The album was released in 2007, and within two weeks was certified as a gold record.

View More On Wikipedia.org
  1. dormant accont

    Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian" Hii inaonesha wazi jinsi gani...
  2. JanguKamaJangu

    Hii ishu ya upasuaji Muna Love ameanza kujuta, bado Irene Uwoya

    Hii ishu ya mastaa wa Bongo kufanya upasuaji wa miili yao imekuwa kama fasheni lakini ni wapuuzi hawa hawajui madhara ya hiyo kitu. Nilikuwa nasoma alichoandika Muna Love kuwa anajutia alichokifanya, ngoja kwanza nimnukuu: “Achaneni na surgery. Msifanye nitakuja kuwaeleza vitu vingi...
  3. John Haramba

    Muna Love ajutia kufanya upasuaji wa kutengeneza mwili wake

    Baada ya mwaka jana kuweka wazi kuwa amefanya upasuaji (sajari) za dimpozi na umbile kwa ujumla, mwanamama Muna Love amejitokeza na kuwasihi watu kutofanya sajari kwani anajuta na kuahidi kuweka wazi madhara yake hivi karibuni. Muna Love ambaye anadaiwa kulazwa hospitalini kutokana na madhara...
  4. warumi

    Picha: Muna love akiwa na Zari...

    Ninachompendea Muna ana Tabia ya kujipendekeza kwa watu waliofanikiwa. Muna Siku hizi ka upgrade uchawa, kutoka kuwa mbeba mapochi wa wema, lulu hadi kuwa Karibu na bosslady Zari , kweli muna mtoto wa mjini anajua kutumia fursa, ana akili sana za biashara. Tunaomjua muna wa miaka hiyo ambaye...
Back
Top Bottom