PICHA: Msiba wa mke wa Dk Mwakyembe

PICHA: Msiba wa mke wa Dk Mwakyembe

Ni ngumu sana mkuu. Kuna kaka yangu alifiwa na mke alipokuwa anajifungua miaka ya tisini,mpaka leo hii hakuwahi kuoa na huyo mtoto wake wa mwisho ni binti mkubwa sasa alimaliza UDSM na kuolewa. Amekuwa na upweke wa ajabu baada ya watoto wote kuondoka nyumbani. Maisha ni mtihani....tushukuru kwa kila Jambo .

Mtihani sana,,,unajua nimemuangalia katika iyo picha Mwakyembe , aisee Ana haki ya kulia sana...
 
Pole Dr. Harrison Mwakyembe; Mungu tu ndiye awezaye kukutia nguvu brother. Kweli hakuna mtu ajuae siku yake ya mwisho, kibinadamu wewe ndio uliumwa sana na hata mawazo yetu ya kijinga huenda yalisema you are the first but aliye mzima ndio katangulia. RIP dada Linah
 
Poleni sana wafiwa. Pole sana Dr. Harrison Mwakyembe, RIP Mrs Mwakyembe
 
Hii siku huwa ni ngumu sana kuipitisha ila haina budi kupita ili ule usemi wa "kila nafsi lazima itaonja mauti"utimie,RIP Mama Mwakyembe.
 
Pole Mh. H. Mwakyembe na familia yote kwa ujumla.
Marehemu amemaliza vita yake hapa duniani...hakika anaenda kupumzika katika ufalme wa Mungu mbinguni.
Pumzika kwa Amani mama Mwakyembe. Utakumbukwa Daima kwa unyenyekevu wako na kumcha Mungu.
Kupumzika kwenye Ufalme wa Mbinguni inategemea aliishije hapa
Duniani
R I P..mke wa Waziri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufiwa kunaumiza sana jmn....yasikukute ila yakikukuta ndio utajua maumvu aliyonayo mh. Mwakyembe....r.i.p mrs.mwakyembe
 
Kufiwa na mke, usipo pata wataalamu wa saikologia mwanzo mambo yako mengi utayaendesha ndiyo sivyo..

Poleni sana Dr. Mwakyembe..
 
Pole sana Dr Mwakyembe. Kufiwa kunatia simanzi sana. Unaweza kuwa strong lakini wengine wanavyolia ni kama huwa inaambukiza hivi...wajikuta nawe unalia.

Btw, Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?
 
pole sana wazir Mwakyembe na wafiwa wote kwa msiba mzito M/Mungu awafariji
 
Hii inaonyesha jinsi tusivyojiandaa kisaikolojia kwamba tutakufa au kufiwa!
 
Back
Top Bottom