PICHA: Msiba wa mke wa Dk Mwakyembe

PICHA: Msiba wa mke wa Dk Mwakyembe

Ni ngumu sana mkuu. Kuna kaka yangu alifiwa na mke alipokuwa anajifungua miaka ya tisini,mpaka leo hii hakuwahi kuoa na huyo mtoto wake wa mwisho ni binti mkubwa sasa alimaliza UDSM na kuolewa. Amekuwa na upweke wa ajabu baada ya watoto wote kuondoka nyumbani. Maisha ni mtihani....tushukuru kwa kila Jambo .
Kwahiyo mkuu hili lina weza kumpa upweke wa ajabu Mwakiembe. Anyway. Ni huzuni kubwa kwa sisi tulio baki kufiwa na huyu mama. Mungu ampe unafuu mbele ya haki. Mwakiembe yeye atajua mwenyewe kwani hata akipata upweke ni jambo zuri tu. Tujifunze kuishi vizuri na watu kwani hatuna mamlaka na mungu. Nyadhifa tunazopewa ni dhamana tu.
 
Kama kuna siku huwa naihofia basi ni kufiwa na mke.
 
Ni ngumu sana mkuu. Kuna kaka yangu alifiwa na mke alipokuwa anajifungua miaka ya tisini,mpaka leo hii hakuwahi kuoa na huyo mtoto wake wa mwisho ni binti mkubwa sasa alimaliza UDSM na kuolewa. Amekuwa na upweke wa ajabu baada ya watoto wote kuondoka nyumbani. Maisha ni mtihani....tushukuru kwa kila Jambo .
Mhubiri, 9:5,6,10
 
Pole Mh. H. Mwakyembe na familia yote kwa ujumla.
Marehemu amemaliza vita yake hapa duniani...hakika anaenda kupumzika katika ufalme wa Mungu mbinguni.
Pumzika kwa Amani mama Mwakyembe. Utakumbukwa Daima kwa unyenyekevu wako na kumcha Mungu.
Mhubir 3:19-21
Mhubir 9:5,6,10
 
Pole sana mwanasheria mahiri ? May God rest your wife in eternal repose.
 
Ni ngumu sana mkuu. Kuna kaka yangu alifiwa na mke alipokuwa anajifungua miaka ya tisini,mpaka leo hii hakuwahi kuoa na huyo mtoto wake wa mwisho ni binti mkubwa sasa alimaliza UDSM na kuolewa. Amekuwa na upweke wa ajabu baada ya watoto wote kuondoka nyumbani. Maisha ni mtihani....tushukuru kwa kila Jambo .

Domo zege au?? Si mmtafutie kipoozeo?? Biblia inasema, akiondoka mwenzio weye uliyebaki umefunguliwa, vuta kitu ingine ndani
 
Kuwa na staha kidogo tu mkuu.
Kila mtu ana njia na namna yake ya kuomboleza (mourn). Kama haujafikwa hutoweza kuelewa kuhusu hili.
Mungu atujaalie busara na hekima katika mitihani ya maishani.
 
mtu anayeweza kuumia ktk msiba ni ndugu, tena wa karibu sana! utaanzaje kusema msiba umenoga labda tuseme kwa msiba wa mzazi/mke/mume wako?
 
Domo zege au?? Si mmtafutie kipoozeo?? Biblia inasema, akiondoka mwenzio weye uliyebaki umefunguliwa, vuta kitu ingine ndani

C
c
20170718_165733.jpg
[emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji48] [emoji48] [emoji44] [emoji44] [emoji44] [emoji236] [emoji44] [emoji44] [emoji45] [emoji44] [emoji44] [emoji37] [emoji44] [emoji237] [emoji237] [emoji237]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msiba mkubwa sana huu kwa familia. Poleni sana na Mungu awape nguvu na faraja kipindi hiki kigumu kwenu.
 
Back
Top Bottom