DMCT
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 2,276
- 5,943
Well said hope ujumbe unafika naunachomaSisi tulio hai twapasa kuelewa kuwa ipo siku tutakufa
Kutumia vyeo kuumiza wengine si vizuri
Well said hope ujumbe unafika naunachomaSisi tulio hai twapasa kuelewa kuwa ipo siku tutakufa
Kutumia vyeo kuumiza wengine si vizuri
Mhubir 3 : 19-21Ni ngumu sana mkuu. Kuna kaka yangu alifiwa na mke alipokuwa anajifungua miaka ya tisini,mpaka leo hii hakuwahi kuoa na huyo mtoto wake wa mwisho ni binti mkubwa sasa alimaliza UDSM na kuolewa. Amekuwa na upweke wa ajabu baada ya watoto wote kuondoka nyumbani. Maisha ni mtihani....tushukuru kwa kila Jambo .
Mhubir 3 :19-21Raha ya milele umpe Ee Bwana...Na mwanga wa milele umwangazie, RIP Mrs Mwakyembe.