Ndiyo wa Sanaa na michezoHuyo si Waziri wa Sanaa?
Hata we pia litakufika kwa namna yoyote ile nakila mmoja hufikwa kwa wakati wake
Ndiyo wa Sanaa na michezo
hilo sina uhakikaKwani Waziri wa Sanaa lazima awe Msanii?
RIP Mama Mwakyembe
Ndiyo sanaa, maigizo, burudani zote na mila zote za nchi hii.Huyo si Waziri wa Sanaa?
DoohPole sana Waziri Mwakyembe. Maisha ni kitu cha ajabu sana. Kuna siku ulikuwa hoi kwa kuugua sumu uliyowekewa....kwa haraka tungefikiri ungekuwa wa kwanza kwenda. Kumbe Mwenyezi Mungu anapangilia vingine.
RIP Linah Mwakyembe
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app