Picha: Msemaji wa White House na mwenza wake

Nilikutana na Suzanne pamoja na dada yake Suzette mwaka 2002 kwenye hafla fulani ya Pentagon iliyokuwa imaendaliwa Hyatt Regency Crystal City; wao walikuwa pamoja na waandishi wa CNN na NBC ila kwenye meza yetu tukakaa mimi na wao tu. Wote wawili walikuwa wanafananana sana na walikuwa warembo sana. Ila Suzette alikuwa inward sana asiyetaka kuongea wala kunywa kinywaji wakati Suzanne alikuwa ni outgoing sana aliyekuwa anachapa kinywaji na alikuwa anauliza uliza sana; in fact alinilipia bili yangu ya kinywaji. Suzana aliniuliza mambo mengi kuhusu background yangu na kwa nini nilikuwa mmoja wa walioalikwa pale. Sasa kwa vile historia yangu ni ndefu na adventurous sana tuliongea sana; baada ya hafla hiyo alinipa contact information zake na kunishauri kuwa siku nyingine nikiwa Washington DC kwenye shughuli za Pentagon niwasiliane naye. Wakati huo nilikuwa nimeshaoa siku nyingin na nina watoto wawili ingawa nilikuwa bado na sura ya ujana; sikuwahi kuwasiliana naye.
Ungemkaza sasahivi asingekuwa analeta upuuzi
 
Mkuu yuko sawa. Mpe heshima yake tu.

Mwenza = partner
Mwenzi = spouse
Hapana,

Unaweza kuwa na rafiki hata wa jinsia moja akawa mwenzi wako, mwenzio.

Kamusi ya Tuki ya Kiswahili - Kiingereza toleo la pili kutoka Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es salaam, imemtaja mwenzi kuwa ni colleague, companion, lover.

Nimetoa mpaka authoritative source.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom