Picha: Msafara wa Prof. Safari watinga Petersburg

African states ziko mnadani, wachina wamewazidi kete nchi za magharibi sehemu nyingi duniani,hata rafiki yao mkubwa Kenya sasa ameenda China, nini unategemea? lazima wana vibaraka wao Africa na ndio hao waliokwenda huko. inashangaza hapa kuna wanaotoa hoja za kipuuzi sana huku wakijinadi ni wasomi wa Chuo Kikuu,kama mambo yenyewe ndio hivyo Tz ni sheeedah. Bravoo Comrade Mugabe, no return to imperialism in Africa
 
Back
Top Bottom