Picha: Msafara wa Prof. Safari watinga Petersburg

Chadema wameenda kuomba misaada kwa wakoloni wa kijerumani. Chadema wanaaibisha Taifa kwa tabia yao ya kuomba omba

Ungekua na ubavu wa kutoomba misada nje hata kutibiwa usingeenda nje kama hutaki kuaibisha taifa
 
yaani kitu pekee ambacho huwa nawashangaa chadema wangu ni pale wanapomwamini prof safari, prof aliyekuwa cuf, prof mwanasheria asiyeshinda hata kesi moja mahakamani, prof mwanasheria ambaye amekosa kazi, hauziki vyuoni wala mahakamani hana wateja, mtu wa maandamano kuilaani israel na mwislam mwenye msimamo mkali kuliko waislam wanasheria wote Tanzania. huo uislam wake mimi simhukumu, ni imani yake, ila naongea kwasababu namfahamu kwa karibu, ni moja wapo wa watu wanaounga mkono type za kina ponda, na al shababu etc. amekosa kibarua hivi mnafikiri hapo anatafuta kutengeneza chama au? na ninyi chadema mmekosa watu?

aina ya watu kama prof safari, zito, yule mswahili wa mwaswa shibuda etc tupilia mbali huko bora wawaite hata wadini kuliko kushikilia hizi type za watu ambazo tunazijua kabisa zipo kuchuma tumbo na hata leo ccm wakiwapa mshiko wa kueleweka wanaweza kuwasaliti hadi hamtaamini macho yetu. NAOMBA MSIWAPE VYEO VYA JUU KWASABABU MTAKUJA KULIA SIKU MOJA HAPAHAPA.

Mkuu umepinda pinda lakini ukweli naouona kwako ni uislamu wa Prof.Safari ndo unakusumbua.acha udini
 
akirudi atakuja ezeka paa za maabara ndo mumuone pro wa ukweli si ndo mnataka kumbukeni hospitali hakuna dawa hogo la mwisho kawekewa
 
cdm hatuna udini kama we ni mwanachama badilika au rudisha kadi
 
yaani kitu pekee ambacho huwa nawashangaa chadema wangu ni pale wanapomwamini prof safari, prof aliyekuwa cuf, prof mwanasheria asiyeshinda hata kesi moja mahakamani, prof mwanasheria ambaye amekosa kazi, hauziki vyuoni wala mahakamani hana wateja, mtu wa maandamano kuilaani israel na mwislam mwenye msimamo mkali kuliko waislam wanasheria wote Tanzania. huo uislam wake mimi simhukumu, ni imani yake, ila naongea kwasababu namfahamu kwa karibu, ni moja wapo wa watu wanaounga mkono type za kina ponda, na al shababu etc. amekosa kibarua hivi mnafikiri hapo anatafuta kutengeneza chama au? na ninyi chadema mmekosa watu?

aina ya watu kama prof safari, zito, yule mswahili wa mwaswa shibuda etc tupilia mbali huko bora wawaite hata wadini kuliko kushikilia hizi type za watu ambazo tunazijua kabisa zipo kuchuma tumbo na hata leo ccm wakiwapa mshiko wa kueleweka wanaweza kuwasaliti hadi hamtaamini macho yetu. NAOMBA MSIWAPE VYEO VYA JUU KWASABABU MTAKUJA KULIA SIKU MOJA HAPAHAPA.

We si bure una tatizo la tezi jike,wahi hosp mapema.
 
we uliyeongea huo upumbavu wenye kuleta itakadi za udini kwenye vyama tafuta kazi za kufanya kwan maisha ya professor safar na maisha yake vinakuhusu nini ácha maneno ya kike!d fanya yako **** wewe
 
we mdini ......
Umeona eeenh, basi Huyo hayuko peke yake mkuu, huko cdm wapo wengi tu watu wa aina yake na wengine ni viongoz wao wa chama, ni watu wanaojisikia kwa dini zao na ukabila wao. Ni watu wa ovyo kabisa.
 
yaani kitu pekee ambacho huwa nawashangaa chadema wangu ni pale wanapomwamini prof safari, prof aliyekuwa cuf, prof mwanasheria asiyeshinda hata kesi moja mahakamani, prof mwanasheria ambaye amekosa kazi, hauziki vyuoni wala mahakamani hana wateja, mtu wa maandamano kuilaani israel na mwislam mwenye msimamo mkali kuliko waislam wanasheria wote Tanzania. huo uislam wake mimi simhukumu, ni imani yake, ila naongea kwasababu namfahamu kwa karibu, ni moja wapo wa watu wanaounga mkono type za kina ponda, na al shababu etc. amekosa kibarua hivi mnafikiri hapo anatafuta kutengeneza chama au? na ninyi chadema mmekosa watu?

aina ya watu kama prof safari, zito, yule mswahili wa mwaswa shibuda etc tupilia mbali huko bora wawaite hata wadini kuliko kushikilia hizi type za watu ambazo tunazijua kabisa zipo kuchuma tumbo na hata leo ccm wakiwapa mshiko wa kueleweka wanaweza kuwasaliti hadi hamtaamini macho yetu. NAOMBA MSIWAPE VYEO VYA JUU KWASABABU MTAKUJA KULIA SIKU MOJA HAPAHAPA.
Mkuu Hute umenifikirisha! Usiku mwema
 
Last edited by a moderator:
Ni bora kumwamini Prof.Safari, kuliko kuyaamini majizi ya Taifa hili na yakiongozwa na jizi kuu!
 
Chadema wameenda kuomba misaada kwa wakoloni wa kijerumani. Chadema wanaaibisha Taifa kwa tabia yao ya kuomba omba

‘Weka akiba ya maneno' - Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Muasisi wa Muungano, Sheikh Thabit Kombo.
 
Chadema wameenda kuomba misaada kwa wakoloni wa kijerumani. Chadema wanaaibisha Taifa kwa tabia yao ya kuomba omba

Una uhakika na unachoongea? CHADEMA hawajawahi kuongoza nchi hii tangu ipate uhuru na haijawahi kutokea nchi ikamudu kujitosheleza ktk bajeti yake hata mwaka mmoja. Pengo la utegemezi linazidi kukua kwa kadiri tunavyoelekea mbele. Nani anaomba kati ya CHADEMA na CCM? Rejea Mkutano wa Raisi Kikwete na walioitwa Wazee wa Dodoma kuhusu safari yake ya China!
 
Vibaraka wa wazungu wanahangaika sana

Sasa kama Unasema hivyo... Vipi je Rais wetu wa Sasa anavyopenda kwenda USA hata kusafisha MENO ?
Yeye Utamuweka kundi lipi na serikali yake?

Angalia UBALOZI wetu MAREKANI ndio ulio na MATEMBEZI na MISUKOSUKO KIBAO... Kama sikosei -- DIAMOND kaisha alikwa zaidi ya Mara 6 pale UBALOZINI kutumbuiza...

Serikali yetu ya sasa ni OPEN to WAZUNGU --- Kumbuka Enzi za NYERERE tulikuwa SIO WAKAPITALIST na Hatukuwa WAKOMUNIST sababu tuligoma kuwa na Sanamu za V.I. LENIN

And you are right
... laki si pesa
 
yaani kitu pekee ambacho huwa nawashangaa chadema wangu ni pale wanapomwamini prof safari, prof aliyekuwa cuf, prof mwanasheria asiyeshinda hata kesi moja mahakamani, prof mwanasheria ambaye amekosa kazi, hauziki vyuoni wala mahakamani hana wateja, mtu wa maandamano kuilaani israel na mwislam mwenye msimamo mkali kuliko waislam wanasheria wote Tanzania. huo uislam wake mimi simhukumu, ni imani yake, ila naongea kwasababu namfahamu kwa karibu, ni moja wapo wa watu wanaounga mkono type za kina ponda, na al shababu etc. amekosa kibarua hivi mnafikiri hapo anatafuta kutengeneza chama au? na ninyi chadema mmekosa watu?

aina ya watu kama prof safari, zito, yule mswahili wa mwaswa shibuda etc tupilia mbali huko bora wawaite hata wadini kuliko kushikilia hizi type za watu ambazo tunazijua kabisa zipo kuchuma tumbo na hata leo ccm wakiwapa mshiko wa kueleweka wanaweza kuwasaliti hadi hamtaamini macho yetu. NAOMBA MSIWAPE VYEO VYA JUU KWASABABU MTAKUJA KULIA SIKU MOJA HAPAHAPA.

Prof. Safari aliondolewa Chuo kikuu Mlimani baada ya kushiriki ktk siasa akiwa mtumishi wa Umma pale alipoenda kumtetea Lipumba mahakamani. Hata hivyo prof. Hajakosa kazi kwani vyuo vikuu kadhaa Duniani hasa marekani vimemuhitaji kwa ajili ya kufundisha Kiswahili lkn ameshindwa kuondoka nchini kwani Ana jukumu la kumtunza mama yake mzazi.
'Simwamini yeyote katika suala la afya ya mama yangu' Prof alinieleza siku moja tulipokutana hospitalini akiwa amempeleka mama yake kutibiwa, pro. Anapata mapato yake kutokana na vitabu mbalimbali alivyo viandika na anavyoendelea kuandika. Prof. Abdalah Safari ni Mtu rahimu asiekua na ubaguzi mwenye kuthamini sana watu .
 
Chadema wameenda kuomba misaada kwa wakoloni wa kijerumani. Chadema wanaaibisha Taifa kwa tabia yao ya kuomba omba

we unafikiria kiccm sana kwamba kila aneyeenda nje ya nchi basi kaenda kuomba Kama mwenyekiti wenu.
 
Back
Top Bottom