Picha: Msafara wa Prof. Safari watinga Petersburg

Usikute hawa wajinga wanaifanyia udalali nchi yetu!

Prof. Safari ni Prof. wa ukweli aliyepata heshima hiyo kwa kufanya tafiti, kusoma na kuchambua machapisho mbalimbali ya wasomi wenzake na siyo Prof. wa Kichina a.k.a Vasco Da Gama wa Tanzania anayehangaika kona zote za dunia kwa minajili ya kulazimisha kupata heshima kwa gharama za wavuja jasho wa Tanzania.
 
Chadema wameenda kuomba misaada kwa wakoloni wa kijerumani. Chadema wanaaibisha Taifa kwa tabia yao ya kuomba omba
"naitumia ndege ya rais kwenda kuomba misaada", JM Kikwete.
"ukitaka kula, lazima ukubali kuliwa", JM Kikwete.
 
Chadema wameenda kuomba misaada kwa wakoloni wa kijerumani. Chadema wanaaibisha Taifa kwa tabia yao ya kuomba omba

Wanaoaibisha Taifa ni wale wanaoiba bila hata kuwaonea huruma watanzania wa kawaida,zinaomba nchi tajiri kama Marekani sembuse Tanzania,Nchi haingii aibu kwa kuomba inaingia aibu kwa rushwa
 
watu kama wewe hamtakiwi katika jamii,ulichoandika ni upuuzi na uzushi na udini uliokithiri na wenzako ni akina faizafoxy, kahtaan and the like. Prof. Safari alikuwa cuf chama kinachozushiwa udini(uislam) sasa kwanini atoke huko aingie chadema chama ambacho nacho kinazushiwa udini(ukristo) huku unamuita ni muislam mwenye msimamo mkali!! What a contradiction! Next time ukiwa umebanwa na haja kubwa halafu unataka kuongea ni vema ukajisaidia kwanza halafu ndio uongee vinginevyo utakayosema au kuandika yatafanana na kinyesi kama ulichoandika!
ni njaa, prof niliyewahi kumshuhudia anaandamana kulaani israel, prof huyo amenifundisha evidence law na criminal kidogo, namfahamu kuliko wewe unavyomfahamu tangu enzi zile yupo mahakama kuu/rufaa. mwenzio huyo ni mwalimu wangu udsm pale wa evidence law. kama haumfahamu mimi namfahamu. he is the only prof ambeye dini imechukua nafasi kubwa kuliko akili yake ya darasani, huyo hata kujitoa muhanga anaweza. kawaulize wanaofahamu.
 
Prof. Safari aliondolewa Chuo kikuu Mlimani baada ya kushiriki ktk siasa akiwa mtumishi wa Umma pale alipoenda kumtetea Lipumba mahakamani. Hata hivyo prof. Hajakosa kazi kwani vyuo vikuu kadhaa Duniani hasa marekani vimemuhitaji kwa ajili ya kufundisha Kiswahili lkn ameshindwa kuondoka nchini kwani Ana jukumu la kumtunza mama yake mzazi.
'Simwamini yeyote katika suala la afya ya mama yangu' Prof alinieleza siku moja tulipokutana hospitalini akiwa amempeleka mama yake kutibiwa, pro. Anapata mapato yake kutokana na vitabu mbalimbali alivyo viandika na anavyoendelea kuandika. Prof. Abdalah Safari ni Mtu rahimu asiekua na ubaguzi mwenye kuthamini sana watu .
angalia hapo kwenye red, unasema hajakosa kazi? hahaha, kwahiyo profesa wa law/sheria anaitwa marekani akafundishe KISWAHILI. simsemi kwa kumsimanga na elimu yake au kazi, kwasababu ninajua sio kwamba anakosa hela ya kula na kulala. na sio kwamba vitabu vyake vinalipa, walaaa,...ninachosema ni kwamba ninamfahamu, ni mtu wa aina za kina ponda. chadema wamuangalie kwa umakini kuna siku watakuja kulia. hatutaki extremists kwenye chadema.
 
Jamaa ni boya kwelikweli.
Kesi ya ugaidi dhidi akina Kilewo huko Igunga ni nani aliyeisimamia na Chadema kushinda kama si prof Safari?
Alitaka prof Safari aendelee kufundisha chuo cha umma huku akiwa kiongozi wa kisiasa?
Ina maana punde hivi kasahau kilichomkutaga prof Baregu na Kitila Mkumbo(huyu ni mtu wao,walimsimamisha uongozi pekee)?
Aseme ni kiongozi gani wa chama chochote cha siasa aliyeairiwa na serikali?
watu kama wewe hamtakiwi katika jamii,ulichoandika ni upuuzi na uzushi na udini uliokithiri na wenzako ni akina faizafoxy, kahtaan and the like. Prof. Safari alikuwa cuf chama kinachozushiwa udini(uislam) sasa kwanini atoke huko aingie chadema chama ambacho nacho kinazushiwa udini(ukristo) huku unamuita ni muislam mwenye msimamo mkali!! What a contradiction! Next time ukiwa umebanwa na haja kubwa halafu unataka kuongea ni vema ukajisaidia kwanza halafu ndio uongee vinginevyo utakayosema au kuandika yatafanana na kinyesi kama ulichoandika!
 
Na Jk ni prof wa ukwel kwani tafiti alizofanya kuhusu gas hazitoshi kumpa uprof. Majibu aliyopat kwenye tafiti zake kuwa Mtwara hawahitaji gas bal wachina na watu wa bagamoyo ilitosha kumpa UPROF.
Prof. Safari ni Prof. wa ukweli aliyepata heshima hiyo kwa kufanya tafiti, kusoma na kuchambua machapisho mbalimbali ya wasomi wenzake na siyo Prof. wa Kichina a.k.a Vasco Da Gama wa Tanzania anayehangaika kona zote za dunia kwa minajili ya kulazimisha kupata heshima kwa gharama za wavuja jasho wa Tanzania.
 
Na Jk ni prof wa ukwel kwani tafiti alizofanya kuhusu gas hazitoshi kumpa uprof. Majibu aliyopat kwenye tafiti zake kuwa Mtwara hawahitaji gas bal wachina na watu wa bagamoyo ilitosha kumpa UPROF.

Wabeja sana Ikengya
 
Last edited by a moderator:
Vibaraka wa wazungu wanahangaika sana

Wazungu acha waitwe wazungu. Kama huamin kamuulize mzee wa tezi dume. Mwenyewe alikubali kupimwa na alitulia kama nini. Achanen na wazungu jamani. We unadhani hakujua kuna china na rusia n arabuni kwenda kupimwa tezi te te teh. Na sisi hatujui kilichotokea wakati wa upasuaji maana hawa wazungu hawa.
 
Subiri siku wazungu waje na marriage certificate kuwa Bavicha wote mmeozwa ndio utajua chungu ya kujipendekeza kwa wazungu.

Unaeza tuambia kwa uhakika kuwa wakati wa opereshen hapakufanywa tendo kinyume?
 
Back
Top Bottom