Picha: Msafara wa Prof. Safari watinga Petersburg

Picha: Msafara wa Prof. Safari watinga Petersburg

yaani kitu pekee ambacho huwa nawashangaa chadema wangu ni pale wanapomwamini prof safari, prof aliyekuwa cuf, prof mwanasheria asiyeshinda hata kesi moja mahakamani, prof mwanasheria ambaye amekosa kazi, hauziki vyuoni wala mahakamani hana wateja, mtu wa maandamano kuilaani israel na mwislam mwenye msimamo mkali kuliko waislam wanasheria wote Tanzania. huo uislam wake mimi simhukumu, ni imani yake, ila naongea kwasababu namfahamu kwa karibu, ni moja wapo wa watu wanaounga mkono type za kina ponda, na al shababu etc. amekosa kibarua hivi mnafikiri hapo anatafuta kutengeneza chama au? na ninyi chadema mmekosa watu?

aina ya watu kama prof safari, zito, yule mswahili wa mwaswa shibuda etc tupilia mbali huko bora wawaite hata wadini kuliko kushikilia hizi type za watu ambazo tunazijua kabisa zipo kuchuma tumbo na hata leo ccm wakiwapa mshiko wa kueleweka wanaweza kuwasaliti hadi hamtaamini macho yetu. NAOMBA MSIWAPE VYEO VYA JUU KWASABABU MTAKUJA KULIA SIKU MOJA HAPAHAPA.

watu kama wewe hamtakiwi katika jamii,ulichoandika ni upuuzi na uzushi na udini uliokithiri na wenzako ni akina faizafoxy, kahtaan and the like. Prof. Safari alikuwa cuf chama kinachozushiwa udini(uislam) sasa kwanini atoke huko aingie chadema chama ambacho nacho kinazushiwa udini(ukristo) huku unamuita ni muislam mwenye msimamo mkali!! What a contradiction! Next time ukiwa umebanwa na haja kubwa halafu unataka kuongea ni vema ukajisaidia kwanza halafu ndio uongee vinginevyo utakayosema au kuandika yatafanana na kinyesi kama ulichoandika!
 
Chadema wameenda kuomba misaada kwa wakoloni wa kijerumani. Chadema wanaaibisha Taifa kwa tabia yao ya kuomba omba
Si bora hawa wanaoomba kuliko ccm wanaiba fedha za umma huku wakiacha walalahoi wakijifia kwa kukosa dawa tu, ccm imekwisha laaniwa.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Chadema wameenda kuomba misaada kwa wakoloni wa kijerumani. Chadema wanaaibisha Taifa kwa tabia yao ya kuomba omba

Bora wanaoomba, wanaweza kukubaliwa wakapewa au wakanyimwa; aombaye sio lazima apewe kuliko wanaoiba kisha wakakamatwa na Tumbili; shame on you, Bs
 
Si bora hawa wanaoomba kuliko ccm wanaiba fedha za umma huku wakiacha walalahoi wakijifia kwa kukosa dawa tu, ccm imekwisha laaniwa.

Subiri siku wazungu waje na marriage certificate kuwa Bavicha wote mmeozwa ndio utajua chungu ya kujipendekeza kwa wazungu.
 
Subiri siku wazungu waje na marriage certificate kuwa Bavicha wote mmeozwa ndio utajua chungu ya kujipendekeza kwa wazungu.

Tezi jike linakisumbua wahi hospital..
 
Usikute hawa wajinga wanaifanyia udalali nchi yetu!

Mkapa alipunguza madeni mpaka tukasamehewa ................... kaingia mswahili, kazi ni kuomba na kukopa tu mpaka nchi haikopesheki tena. No wonder mwelekeo umehamia China. Sijui kwa nini matibabu hakufanyiwa kule ................. anaogopa madaktari wa kichina!!?? CCM nchi mshaiuza sasa mnatafuta mchawi!!
 
Nawashangaa sana chadema kumpa salum mwalimu cheo hiki kizito wakati wanajua huyu ni mtu wa system hata pale voda alikuwa kwa kazi maalumu tu kama mnataka c.v yake tutafuteni hii nchi haiwezi kukombolewa na double standards jengeni desturi ya kuwajua hawa watu na kisha kuwachuja.
 
vibaraka wa wazungu huwajui, wamemaliza nusu ya muda wao wa madaraka nje ya nchi

Na le profesere kabadilishana nchi (vitalu vya gesi) kwa miaka 50 huku yy na familiya yake wakisafirisha madawa ya kulevya china kwa miaka michache tu.
 
Hahaaaaaa,nicheke mie,mtu akikosa cha kusema akae kimya tu.sio dhambi,yaaani mmetoka kusema chama cha kaskazini,chama cha didini/ kikristo sasa ,mnaanza kushambulia personalities za watu? Kweli safari hii mmeshikwa nyeti.
 
wameenda kuleta chopa ccm wajiandae kufa kifo cha mende kwenye uchaguzi mkuu 2015
 
Back
Top Bottom