Picha: Mkuu Muuza sura wa Jf...!!!

Picha: Mkuu Muuza sura wa Jf...!!!

Ndio nini, kujishika hivyo. Kweli muuza sura
 
mkuu kama umenifananisha mimi na huyu choko utakuwa umenikosea sana....mimi silazimishi muonekano ni urithi tu wa sura ya mama yangu!tofauti na huyo pimbi pichani anaipania sana camera
watu wanapenda uzuri nawe wajisifu una uzuri wa mama ako OK!
 
dah,kama mdogo wako muwahi kabla hawajamuharibu,usije kusema 'hakuwa ivyo nyuma,UTUNDU umeongezeka'
 
Back
Top Bottom