PICHA: Mkutano wa Waislamu Mtwara wakipinga gesi isiende Dar es Salaam (leo)

Dar nzima kesho vijana wote wapenda mabadiliko mnakaribishwa msimbazi center ilala kawawa road kituo cha bas ni msimbazi kuanzia saa 3 asb... kutakuepo na viongozi wa kubwa wa kitaifa CDM na majibu ya tuhuma zote zitatolewa......
 
Unyumba siombi natumia. na gesi lazima tuisafirishe Tanzania nzima

Hayo ni maneno anayosema mtu anayetumia ........... kufikiri na sio kichwa(Ubongo), hivi kwa akili zako kuna maendeleo yeyote yanayopatikana pasipo na maridhiano/ makubaliano katika pande mbili zinazotofautiana?
 
Watanzania tuwe makini sana, haya mambo ya ukanda yataisambaratisha nchi vipande vipande huko tuendako
 
Shida ya serikali kuwa mbali na wananchi, suala hili lilitakiwa lijadiliwe na viongozi pamoja na wawakilishi wa wananchi kabla JK na wanaCCM wenzake kuamua. Damu itamwagika, mabavu yatatumika na mwisho wa siku wana Mtwara watalihujumu hilo bomba
 
Dar nzima kesho vijana wote wapenda mabadiliko mnakaribishwa msimbazi center ilala kawawa road kituo cha bas ni msimbazi kuanzia saa 3 asb... kutakuepo na viongozi wa kubwa wa kitaifa CDM na majibu ya tuhuma zote zitatolewa......

kwa ajili ya kwenda kuhamasisha vurugu? Tuhuma gani na majibu gani kama sio uchochezi, shauri yenu mana kikwete amesema uvumilivu sasa basi
 
Mkianza kujigawa kimakundi hamtafika popote...wekeni udini pembeni!

Haya mnayoyashabikia subirini mtavuna mnalolitaka ,Mungu wa Yakobo atuepushe ,hamuelewi hatari mnayoipandikiza katika taifa kushabikia upuuzi unaofanywa .na wanamtwara na kuungwa mkono na akina zitto ,hautakua muda mrefu mtavuna machungu ,,,,,oooooh ole wa kizazi kilichopofuka na kushindwa kuyajua yaliyorohoni ,,,,,mmetegwa na Ibilisi na kuingia kichwakichwa
 
WanaaPolo tunajipanga so Half game na makampuni mengine yajipange asee
 
Kimkakati Waislamu wa Mtwara wamepotoshwa na wao wakakubali kuingia kwenye mtego, kwani kesho utaanzakusikia matamko kutoka dini nyingine wakipinga gesi kuwa suala la dini moja........divide and rule imetumika hapo..........
 
kama mikutano ingekuwa inafanyika kutafuta ufumbuzi wa kila mwaka kwanini Mtwara inakuwa ya mwisho kwenye matokeo ya mitihani mi naamini inngewasaidia zaidi kuliko hata hio gesi.
 
Hakuna unalolizania..
Nyie ndo wale wale..
Ngoja kidogo utasikia tunawafurumusha awa wahuni uku mererani ndo utafurai...
 

Nausubiri kwa hamu wakati ule ambapo tone moja la kwanza la damu litakapodondoka. Nataka nione sura ya sultani Mangungo a.k.a Dr. Dhaifu wakati itakuwaje.
 
Viongozi wa kidini wangesubiri kwanza, sidhani kama linakaa vizuri maana bado wanasiasa hawajashindwa, viongozi wa kidini nao sikuhizi mashaka matupu, si ajabu hapo hawana mpango na gesi wanapambana tu na bakwata
 
We ni mwanamapinduzi unavyoonyesha, kumbe mkuu jk anataka kila kitu kijengwe bagamoyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…