PICHA: Mkutano wa Waislamu Mtwara wakipinga gesi isiende Dar es Salaam (leo)

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Update ya hii link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...o-la-waislamu-wananchi-kuhusu-gas-mtwara.html





nzozmp.jpg
2emfxih.jpg
11a8txt.jpg
301hi82.jpg
ru7j87.jpg
68vwhl.jpg
 
Licha ya Mvua kuendelea kunyesha lakini watu bado waliendelea kujazana...Hii inatia hamasa sana!! Na tamko lao ambalo wamesema ni la Waislamu halijatoka nje ya madai ya wana Mtwara,kwamba gesi isitoke...na Kauli Mbiu yao ni Gesi Kwanza Uhai Baadae!!
 
Dah, huu mziki huu, haki ya nani serikali ya Kikwete imeshikwa pabaya!
 
nawaunga mkono viongozi hawa wadini, na ningependa kuwasikia na wengine wakiwatetea watu wa Lindi na Mtwara. Nimategemeo yangu Mama kwenye shuka kwa shuka atamkumbushia Kiongozi wetu wajibu wake kwa watanzania wote bila upendeleo wa Dsm au Bwagamoyo, roho yangu imekudondokea
 
Watani zangu KOMAENI kisitoke kitu hapo mpk mjengo wa kuchakachua gesi ujengwe hapo mtr mkilema kizazi chenu kitayapiga viboko makaburi yenu kila asb ndo waende kutafuta riski.(Rejeeni stori hii ya JK alipoipoizungumzia kuhusu elimu akasema Nachingwea ilitokea) MNAKUMBUKA?
 
Back
Top Bottom