PICHA: Mkutano wa Waislamu Mtwara wakipinga gesi isiende Dar es Salaam (leo)

Sasa pumu imepata mpumuaji. Wazee wa manung'uniko wameingia mzigoni, kazi ipo. Hatimaye JK atavuna alichopanda.

Ukiona watu wanadai jambo la kijamii kwa mgongo wa dini, ujue kumekucha
 
kama mikutano ingekuwa inafanyika kutafuta ufumbuzi wa kila mwaka kwanini Mtwara inakuwa ya mwisho kwenye matokeo ya mitihani mi naamini inngewasaidia zaidi kuliko hata hio gesi.
Uislamu na elimu magharibi ni sawa na petroli na maji!
 
Update ya hii link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...o-la-waislamu-wananchi-kuhusu-gas-mtwara.html





nzozmp.jpg
2emfxih.jpg
11a8txt.jpg
301hi82.jpg
ru7j87.jpg
68vwhl.jpg

.
Naunga mkono hoja. Nnani kachema kuwa nmakonde chii ntu?
Nmakonde nae ni Ntu jamani lazima tutambue hilo na haki zake ziheshimiwe kaza buti ntani wangu mwaka huu lazima kieleweke.
.
 
alichokitaka Kikwete anakipata sasa katumia udini sasa angojee umtumie..! malipo hapahapa
 
cha msingi kikwete akubali yaishe ili amalize muda wake kwa amani. issue inakuwa kubwa hii.
 
Kwa kweli hii ya mkoa ya Mtwara haitawaponyesha mafisadi madarakani,kwa kweli wanainchi wamechafukwa na mioyo!
 
Haya mnayoyashabikia subirini mtavuna mnalolitaka ,Mungu wa Yakobo atuepushe ,hamuelewi hatari mnayoipandikiza katika taifa kushabikia upuuzi unaofanywa .na wanamtwara na kuungwa mkono na akina zitto ,hautakua muda mrefu mtavuna machungu ,,,,,oooooh ole wa kizazi kilichopofuka na kushindwa kuyajua yaliyorohoni ,,,,,mmetegwa na Ibilisi na kuingia kichwakichwa
Si wote wavunao wanachopanda,kuna ambao huwa hawavuni kitu kabisa.Upuuzi ni tafsiri yako binafsi,kwangu waweza kuwa ni busara n.k
 
Cha ajabu, TBC hawakurusha saa mili jioni, then tukiisema mnadai ni ubishani wa CDM
 
Inani kumbusha maandamano yaliyokuwa yanatokea UK baada ya conservative kuanza na sera zao za mikato. Hawakuwafuata wananchi kwa sababu wanajua kwenye kisiasa kuna maamuzi ambayo hayato kuwa popular na watu wote.

Kwakuwa walijua wachochezi wa maandamano ni union, na union ndio wachangiaji wakubwa wa labour wao moja kwa moja wakamvaa 'Ed Miliband' for cheap politics za kutaka popularity through mgongo wa union and their irresponsible demands wakati mikato ilikuwa justified kupunguza government borrowings.

Jamaa walimvaa 'Ed' sio tu kwa sababu ya kutafuta umaarufu, bali kwa sababu 'Ed' anajua tosha hata yeye angekuwa prime minister fujo zinapozidi kwenye maamuzi ya serikali na kuna hatari kwa afya ya taifa anajua kitakacho fuata.

kwa maana hiyo viongozi wa upinzani wanajua wana uwezo wakubadili sera kupitia ushindi wa uchaguzi utakao fuata na kama wao wataingia baadae.

Na kwa sasa wanajua tosha serikali itakavyo deal na hawa watu wakizidi kwa hivyo kitendo cha wao kukaa kumya bila ya kuwaelesha maamuzi ya kisiasa kwa watu wasio elewa maamuzi ya serkali na kusubiri fujo zitokee hili wapate kuonenkana mbadala is just cheap politics.

kwa sababu sote tunajua it is clear wakiendelea kichapo kitaenda mtwara, kwa maana hiyo upinzani unasubiri hicho tu, huko ni kukosa sera na hoja na si kujenga bali kubomoa taifa kwa uchu wa madaraka.
 
hakuna udini uliongelewa hapa zaidi ya viongozi wa dini kuongelea mambo ya kiuchumi ambayo yatagusa watu wote, wapagani , wakristo , waislamu nk, sawa sawa na cct au tec wanapotoa matamko ya kuwasaidia wa tz wote bila kujali dhehebu au asili ya mtu, haki bin haki
Haya bana nimekuelewa.
 
Wana Jamvi,

I am a bit confused here. Hawa wana Mtwara wanachotakani nini hasa? Mwanzo nilisikia hawataki Gasi processing plant iwe Dar, wanataka iwe Mtwara, kwa hapa nawaunga mkono. Hii heading inasema Waisilamu hawaki Gesi iende Dar!!! Ni nini hasa madai ya watu wa Mtwara?

Processing plant ikijengwa Mtwara hapo hapo, hiyo does not gurantee kwamba watakaopewa ajira kwenye hiyo Plant watakuwa wana Mtwara kwani watahitajika wataalamu wanaojua mambo ya Gesi na uenda pale Mtwara hawapo kabisa. I would think wana Mtwara wanapashwa kupigania Plant ijengwe Mtwara halafu wapiganie vile vile uwekwe mtambo wa kuzalisha umeme kutoka kwenye gesi hivyo kuwahakikishia wawekezaji umeme wa uhakika na hivyo kujenga viwanda ambavyo vitawapatia wana Mtwara ajira. Wakati huo huo part ya Gesi isafirishwe kwenda Dar ya ajili ya kuzalisha umeme wa kuingiza kwenye gridi ya Taifa.

Kama wana Mtwara wanapigania Gesi isitoke nje ya Mtwara tu, basi wamepotea njia, hawana point.

Tiba
 
Back
Top Bottom