Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Chadema pamoja daima
Tuimbe kwa pamoja makamandaaa!!
palapanda italia palapanda *2
nayo magaaamba yatakuwa yamekwisha nyakuliwaaa... kwenda waaaapi? kuiraki CDM magogoniiii *2
naye KINANA.... atakuwa amekwisha nyakuliwaaaa
naye MWIGULU....
atakuwa amekwisha nyakuliwaaaaa
naye LOWASSA....
atakuwa amekwisha nyakuliwaaaa
kwenda wapiii...?!
teh teh teh!!
CCM lazima WAKAE!!
Wakiandikisha daftari la wapiga kura vizuri CCm itakuwa na wabunge 3 tu....deo, lugola na ally kessy,
Ni kweli mkuu...yaani huku miaani...ni kubaya mno kwa cCM mimi nakutana na vijana na kudiscuss politics kwenye vijiwe...hali ni mbaya mnoHata wasipoandiksha. Hao hao wanaofikiri ni wao hawatakuwa. Wachague kunyoa au kusuka
MSALANI anasemaje?
MSALANI anasemaje?
View attachment 133830
View attachment 133835
View attachment 133838Mkutano wa leo kanda ya ziwa magharibi, VIWANJA VYA UYUI SEKONDARI -TABORA..
Tuimbe kwa pamoja makamandaaa!!
palapanda italia palapanda *2
nayo magaaamba yatakuwa yamekwisha nyakuliwaaa... kwenda waaaapi? kuiraki CDM magogoniiii *2
naye KINANA.... atakuwa amekwisha nyakuliwaaaa
naye MWIGULU....
atakuwa amekwisha nyakuliwaaaaa
naye LOWASSA....
atakuwa amekwisha nyakuliwaaaa
kwenda wapiii...?!
teh teh teh!!
CCM lazima WAKAE!!
Chadema habari ya MABADILIKO
jamani chama cha magamba Wameondoa mizigo wameweka Mawaziri KI.FU.SI
UTANI mwezi mzima wakateua KEJELI
Wanatukubali hata kimoyomoyo tu japo miili yao na vinywa vinakataa,
Chadema tumaini la wanyonge
Itabidi CCM wamnunie Zitto ni kwa nini ameshindwa kuisambaratisha CDM!! Ametafuna mamilioni ya pesa zao lakini ndo kwanza CDM inaendelea kushamiri!