Wakiandikisha daftari la wapiga kura vizuri CCm itakuwa na wabunge 3 tu....deo, lugola na ally kessy,
Hii picha lini?
Ahsanteni Kikosi maalumu cha Anga la Media na Social Network kwa kutupa update motomoto..
Huu ni mkutano wa Chadema kanda ya Magharibi sio ziwa Magharibi.Kwa taarifa tu ni kwamba hata kesho hii amsha amsha itaendelea kanda hii ya magharini hadi tarehe 25.01.ndipo itakuwa kanda ya ziwa Magharibi.
Leo tumeshuhudia chadema wakifanya mikutano kila mahali, tumeshuhudia watu wengi sana wakimiminika kwenye mikutano yao, kwakweli hali hii ikiruhusiwa itatishia usalama wa chama tawala na serikali yake, na kwakweli wakiachiwa hivi watakuja kupanda spirit ya ukombozi wa kweli kwa watanzania wote. wakifanikiwa kufanya hivyo itakuwa hatari sana kwa serikali tukufu ya ccm.
mimi napendekeza serikali ipige marufuku matumizi ya vyombo vya moto nchi hii, yaani Pikipiki, Magari, treni, helcopter na ndege ili kuwakomesha hawa chadema. Serikali iruhusu tu matumizi ya baiskeli nchi hii, na rais awe na baiskeli ya miguu mitatu. Serikali ikiweza kufanya hivyo itakuwa imewakomesha hawa chadema wanaohubiri ukombozi kila mahali badala ya mijini tu.

Duuh,wapi Zitto na masalia wake?