Hii picha lini?
Leo tumeshuhudia chadema wakifanya mikutano kila mahali, tumeshuhudia watu wengi sana wakimiminika kwenye mikutano yao, kwakweli hali hii ikiruhusiwa itatishia usalama wa chama tawala na serikali yake, na kwakweli wakiachiwa hivi watakuja kupanda spirit ya ukombozi wa kweli kwa watanzania wote. wakifanikiwa kufanya hivyo itakuwa hatari sana kwa serikali tukufu ya ccm.
mimi napendekeza serikali ipige marufuku matumizi ya vyombo vya moto nchi hii, yaani Pikipiki, Magari, treni, helcopter na ndege ili kuwakomesha hawa chadema. Serikali iruhusu tu matumizi ya baiskeli nchi hii, na rais awe na baiskeli ya miguu mitatu. Serikali ikiweza kufanya hivyo itakuwa imewakomesha hawa chadema wanaohubiri ukombozi kila mahali badala ya mijini tu.
Ha ha ha mkuu ccm ndo basi tena hii operation ya cdm ndo imekuja kukata mzii wa fitna.
Taarifa za uhakika ni kwamba ccm hawatafanya kampeni kabisa Sombeti......
Hii picha lini?
Nahisi uchaguzi wa mwaka 2015 matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:
CDM 69%; CCM 21%; CUF 6%;
Possible mkuu
Duuh,wapi Zitto na masalia wake?