Picha: Mkutano wa CHADEMA kanda ya Magharibi

Picha: Mkutano wa CHADEMA kanda ya Magharibi

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
IMG-20140122-WA0005.jpg
IMG-20140122-WA0004.jpg
IMG-20140122-WA0006.jpg
Mkutano wa leo kanda ya Magharibi, VIWANJA VYA UYUI SEKONDARI -TABORA..
 
Kama vile wanalia na kuomboleza ni kwa nini waliiweka CCM madarakani!!!
 
Nahisi uchaguzi wa mwaka 2015 matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:

CDM 69%; CCM 21%; CUF 6%; NCCR 3% ......Vyama vilivyobaki 0.000002%
 
uwiii,uwiii chama changu ccm.we ni mgeni wa nani 2014/15 ??
uwiii uwiii
 
Kwa speed hii lazima Nape na Kinana wabuni njia nyingine ya kuaminiwa na wananchi baada ile kauli mbiu yao ya Mizigo kuzimwa na JK.
 
Itabidi CCM wamnunie Zitto ni kwa nini ameshindwa kuisambaratisha CDM!! Ametafuna mamilioni ya pesa zao lakini ndo kwanza CDM inaendelea kushamiri!
 
Wanatukubali hata kimoyomoyo tu japo miili yao na vinywa vinakataa,

Chadema tumaini la wanyonge
 
Back
Top Bottom