CCM ni chama kinachotetea haki za wanyonge. Wapiga kura wengi ni wanyonge masikini, ndio maana wanakichagua chama wanachokimini CCM na kinashinda kila chaguzi kuanzia ngazi ya vijiji mpaka taifa.
Hakika Arusha ni CHADEMA na tunapaswa kutafuta uwanja wa kufanyia mikutano maana sioni uwanja hapa mjini unao weza kukizi mahitaji ya chadema....
clap... clap... clap
read again my post "Kosa kubwa mnalofanya CCM kwa sasa ni hii dharau kwa maskini... THEY ARE THE REAL VOTERS!!
calling names, mocking them expecting that they are fools for life wont help
traitors never hide....
Umeshawahi kushiriki maandamano ya kumuunga mkono kiongozi wa kisiasa?
Imani za CCM zimejengwa katika misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa.
Hiyo ni story tu mkuu, kwani wanajadili maajabu ? wametoa tu taarifa ya mkutano wa huko Arusha.
Now you're talking. Na muache kuchezea nyumba za wanaume. "Mkachezeane" huko huko mnakofanyiana kidali-po na mambo yenu ya Pwani hadi ndoa ya mkeka! A-town ni kazi tu; wanaume hawajui somo lingine.
Why do you call other people jobless tena kwa kejeli ?
Umepata shida kuelewa nimesema DECEIVED jobless. Kuwa jobless siyo tusi wala kejeli ni hali ya maisha...
Imani za CCM zimejengwa katika misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa.
Ss nimeahirisha kumeza panadol,kichwa kimetulia kabsa
Kuna ajabu gani Lema kukusanya watu Arusha? Hapo ni nyumbani kwake ningeona ajabu kama kakusanya umati huo Chakechake-Pemba; wakati tumieni akili kabla ya kuandika majisifu
Chama
Gongo la mboto DSM