Picha: Mkutano wa CCM Kigoma

Wasira anafanya nini Kigoma huku bajeti ya Kilimo HAINA WAPITISHISHAJI? Au naye alikwenda Zenj?
 
CCM inatumia rasilimali zetu vibaya. Hawa mawaziri wanaongoza serikali YETU sote. Kuna haja ya kustipulate kwenye katiba mpya kwamba WAZIRI wa Serikali asiwe na affiliation na chama chochote cha siasa
Nakubaliana nawe kwa asilimia 100.
 
mmh huu umati,si afadhali hata mkutano wa kijiji una watu wengi,dah pole sana nepi...
 
Rejeo, ritz, zomba, et al mbona hawaji kutupatia nini kilijili huko na kuwa mbaya kiasi hiki kinyume na matarajio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…