Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo Simiyu

Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo Simiyu

photoshop hiyo, imeeditiwa pale Ufipa, ACT lijaza watu wengi sana,
 
Mbona mambo yanaanza kuwa arijojo? Kule Musoma kazomewa na Bariadi ndiyo kama hivi...what next "supreme leader"???
 
photoshop hiyo, imeeditiwa pale Ufipa, ACT lijaza watu wengi sana,

Kweny picha ya pili kutoka juu kuna katoto kameweka mikono kichwani sijui ndo anaashiria uchuro kuwa chama hiki hakifiki popote au .....??. Na huyo mama kama ana mume ni vizuri mume akafanya maamuzi magumu ya kumkalisha nyumbani kuliko kuzurura na wasaliti
 
acha kutudanganya hapa ,act ni mrengo wa kushoto usituletee porojo zako hapa

Kuna mirengo mitano Mkuu....mrengo wa shoto, mrengo wa kulia, mrengo wa kati, mrengo wa kati kulia na mrengo wa kati kushoto.......narudia tena itikadi ya ACT wazalendo ni mrengo wa kati kushoto....
 
Mbona hao wahutubiaji wa kiume ni wachafu wachafu hivyo?
Wakanyoe nywele na ndevu.
 
msisitizo wa mashabiki wa ACT kwenye ukabila na udini pamoja na ukanda unawaharibia sana .Viongozi mna kazi ya kuwaelimisha hawa jamaa zenu hasa wa JF WANADHALILISHA CHAMA
 
Mahudhurio hafifu - watu wameshaanza kumstukia huyu jamaa!! na bado !!!
 
Round ya pili ZZK hatapata watu kabisaaaaa,kwa sasa wanakwenda wakiwa na hamu ya kusikia kama anajipya zaidi,ajabu ana ajenda zilezile ambazo amekuwa akizisema akingali cdm,sasa kwa nini hajabaki kulekule??hapo ndipo anawachanganya sana raia ndiyo maana hatuoni wakichukua kadi kwenye mikutano yake,kwa sababu hawamwelewi lengo lake ninini hasa,mwisho wa siku wata mu ignore
 
nngu007 (BVICHA)

Utipenda tu; Watu tulikuwa nyomi; Aksante kwa picha za maandalizi Kama kawa Pluuuuuuuuuuuuuuuu mpk Ikulu 2015.

ZITTO NI MPANGO WA MUNGU NA NI MLIMA WA MOTTTTTO;
MWAMBIE MBOWE HARUKI KANDA YA ZIWA DOGO JANJA '' MNYIKA '' KAAHRIBU YUPO GESTI ANA WA KUMUOKOA
AGE ACHUKUE ZIGO LAKE; MAUA GESTI;

AIBU ANASHINDWA MPAKA KUANDIKA REPORT YA SUNAMI YA ACT
 
Kuna mirengo mitano Mkuu....mrengo wa shoto, mrengo wa kulia, mrengo wa kati, mrengo wa kati kulia na mrengo wa kati kushoto.......narudia tena itikadi ya ACT wazalendo ni mrengo wa kati kushoto....

Huko kushoto ndio kuna nani Mkuu
 
Back
Top Bottom