lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,470
- 9,053
Kama walioenda Samunge kwenye kikombe cha babu, huwezi leo hii ukamsikia hata mmoja akitoa ushuhuda tena!Mbona raia wameanza kuchoka mapema?Lyatonga Mrema walimvumilia karibu miaka mitano,msimchoke mapema jamani