Van persie
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,099
- 720
Huyo babu ndio nani tena?.Mbona km mganga wa Kienyeji?.
huyo babu ndio nani tena?.mbona km mganga wa kienyeji?.
mbona unapanic sasa? hasira za nini? kama walipata kusema act ni chama kikubwa kuliko cdm naomba uthibitishe hapa,Usijitete Mshamba ww Leo ndio mmetambua kuwa Act chama kichanga acha Ufala ww.Si Mlisema kimekuwa chama kikubwa kuliko CDM?. Mwambie Nuru ya chama amwambie mwenyekiti wake aitishe mkutano akahutubie Songea Mjini km hajapata watu watatu.
[/TD][TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]http://4.bp.blogspot.com/-yKxQ08d9yO0/VTdYZgGD1FI/AAAAAAAACQM/_tUQ71BOU_w/s1600/SAM_1377.JPG[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kiongozi wa juu wa Chama cha ACT Wazaleno Zitto zuberi kabwe akiwahutubia wananchi wa wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, jana wakati wa chama hicho kilipofanya ziara ya siku moja mkoani hapa katika mfulululizo wa kukitambulisha kwa wananchi, hata hivyo Mkutano huo uliweza kuharibiwa na mvua hali iliyosababisha kuhairisha mara kwa mara na wananchi waliweza kuhudhulia kulazimika kukimbia mkutano huo ili kujikinga na mvua.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]http://1.bp.blogspot.com/-7mgf-5KJp90/VTdZHgatXOI/AAAAAAAACQU/BQMmFv8M4ao/s1600/SAM_1348.JPG[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Baadhi ya wananchi ambao waliweza kuhudhulia katika mkutano huo, ambao uliweza kufanyikia katika uwanja wa wa mpira wa halmashauri ya wilaya ya mji wa baraidi.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]http://3.bp.blogspot.com/-lPi1EJ6sILM/VTdZUfoYAZI/AAAAAAAACQc/6DiRd0Pyqd0/s1600/SAM_1349.JPG[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kiongozi Mkuu wa Chama cha Alliance for Change and Transparency ACT Wazalendo Zitto Kabwe akiongea na wananchi wa Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu ambapo alisema kuwa vyama vingi vya siasa hapa nchini, vinasumbuliwa na uroho wa Madaraka pamoja na vyeo
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]http://2.bp.blogspot.com/-nP6DtDa_VbA/VTdZejrcxaI/AAAAAAAACQk/LoAknD4OR9s/s1600/SAM_1352.JPG[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanamziki Mkongwe wa mziki wa bongo fleva nchini Seleman Msindi (Afande Sele) ambaye mwanamuziki huyo alijiunga na chama kipya ACT Wazalendo akiwahutubia wananchi wa mji wa Bariadi waliohudhulia kuwasikiliza viongozi wa chama hicho.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
http://2.bp.blogspot.com/-w-UfsGyxYrQ/VTdbJRue4fI/AAAAAAAACRA/Ek1huBod5_c/s1600/SAM_1360.JPG
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]http://4.bp.blogspot.com/-rTzqvHxmUH4/VTda-k7JGBI/AAAAAAAACQ4/OBTv-BUjGjQ/s1600/SAM_1361.JPG[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Change and Transparency ACT Wazalendo Anna Mghwira akiongea na wananchi wa mji wa bariadi katika uwanja wa mpira wa halmashauri ya mji wa bariadi jana mkoani Simiyu, wakati walipofika mkoani hapa kwa ajili ya kukitambulisha chama hicho.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]http://4.bp.blogspot.com/-06Q96vOOQOs/VTddK73p1cI/AAAAAAAACRU/Tbn6e6_eJxw/s1600/SAM_1373.JPG[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zittp alisema kuwa uroho wa kutaka madaraka pamoja na vyeo kwa baadhi ya wanachama na viongozi ndani ya vyama hivyo, limekuwa tatizo kubwa na kuvifanya kushindwa kupambana kutetea hali za watanzania ambao ni maskini.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afande sele akiwa amembeba mtoto wakati wa mkutano wa chama chake ACT wilaya Baraidi Mkoani Simiyu.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]http://4.bp.blogspot.com/-JkeIb0War-8/VTdeeV4DlyI/AAAAAAAACRk/eo0MhfB0IYE/s1600/SAM_1385.JPG[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zitto alibainisha kuwa chama chake kimekuja kubadilisha hali hiyo, kwa kueleza kuwa hakiendeshi mikutanio yake kwa matusi pamoja na kutambiana na badala yake kunawaelezea wananchi ukweli juu ya maisha wanayoishi.
DAAAH JOB TRUE TRUE, HIZI PICHA HIZI.. MWL KAIJAGE ALITUBANIA HIZI, DAAAHHH.. KWELI KUENEZA CHAMA NI JOB TRUE TRUE.. HUENDA WAKAZIKANA WENYEWE, MKUUnngu007 ASANTE SANA PICHA ZINAJIELEZA HATA USINGEWEKA MANENO, ; PICHA YA TISA INATOA UJUMBE MZITO SANA, JAMAA KAINUA MIKONO JUU KUWAPUNGIA WATU, THEN NIWATU WATATU TU WANAMSAPOTI.... TUKUTANE OKTOBA. HUU UZI HUU...
Mkuu jebibay unaweza kugoogle political ideologies....mambo yote utayaona hadharani.....
Nimefuatilia na nimesoma kidogo na nime-conclude hicho mnachopresent nyie ni porojo tu hakina mantiki yeyote katika siasa za kushoto au kulia au mchanganyiko ! Left wing and right wing politics inategemea na nchi (jamii) husika. Hii concept ilianzia ufaransa na imeenea kwenye nchi nyingine duniani lakini base yake ni misingi asilia ya nchi husika....
Kwa ujumla left politics ziko more liberal, progressive na sinajaribu ku-accomodate other views as much as possible kutoka kwenye misingi asilia ya jamii husika. Right wing politics ziko more conservative, ziking'ang'ania zaidi katika misingi asilia...... Sasa kabla hujaenda huko kwenye Left na Right lazima kwanza kama jamii tuwe na base (misingi asilia) kama nchi na wale wanaong'ang'ania kubaki katika base wasiokuwa progressive, wasiobadilika kwa haraka ndio wanakuwa right and hao wengine left.......
Kwa mfano tukichukulia Israel, tangu taifa hilo lilipoanzishwa mwaka 1948 base yao ilikuwa kuwa na taifa kama ilivyokuwa wakati wa Biblia, kurudisha Jerusalem yote mikononi mwao, ikiwa ni pamoja na Judea na Samaria (West Bank) na vitu kama hivyo !. Wale wa upande wa right (kina Netanyahu na vyama vingi vya kidini) wanaendelea kung'ang'ania kwenye hizo original ideas as much as possible na wale walio far far right ndio kabisa wangependa hata wapalestina waondolewe kabisa.... On the other hand wale wa left ndio hao wanataka kushare Jerusalem na wale wa far left wanakwenda mbali zaidi na kuna ambao ni wa katikati na wanaojaribu kuchanganya......Ukienda marekani nao kwa mazingira yao wako hivyo hivyo !
1. Hapa kwetu base yetu ni nini ? Kwa kifupi mimi sielewi misingi RASIMI tuliyonayo sisi kama taifa ambapo kutokea hapo ndio unaweza kusema nani ni Left na nani ni Right au katikati au mchanganyiko.....Kama wewe unaijua hiyo base iseme....
2. Kama unachukulia kwamba ujamaa ndio base yetu (ambapo naamini sio sahihi), then ACT haiwezi kuwa centre left instead itakuwa centre right....
Anyway, kama wewe unajua hebu eleza misingi yetu kama taifa ni ipi (kama ipo na kama unaijua) kwani bila hiyo hakuna Left wala Right ni porojo tu kwani nchi zote zenye Left na Right kwanza zina misingi original ambayo inajulikana kwa uwazi kabisa katika nchi hizo na mtu au vyama vinanakuwa Left, Right, katikati au vinachanganya kulingana na misimamo yao kwenye misingi hiyo ya taifa.......Misingi yetu ni ipi mkuu ?!
Kwa maneno mengine, right or left from point ipi ? Nchi zote zenye left na right wana point ya reference na hivyo kwa mtazamo wako tu watu wanajua umesimama wapi.....Naomba ACT mtueleze mnatumia reference point gani na mmeitoa wapi....otherwise ndugu yangu hizo zitakuwa ni porojo tu......
Acha wivu wa kike wewe zwazwaAct imekuja kuua kile chama cha wachaga moja kwa moja.
Seriously hujui msingi wa Tanzania ni nini? Ok ni ujamaa na kujitegemea...that's is our origin. Itikadi imegawanywa katika mirengo miwili mikubwa yaani mrengo wa kulia na mrengo wa kushoto. Kihistoria kundi la mrengo wa kulia huwakilisha watu wasioamini katika usawa, wakiamini kuwa haiwezekani kuwa na usawa katika jamii.
Kundi la mrengo wa kushoto huwakilisha watu wanaomini usawa katika jamii. Tofauti ya msingi katika mirengo hii miwili ni kuhusu kazi ya Serikali katika uchumi na namna ya kuendesha Serikali.
Watu wanaoamini katika mrengo wa shoto kabisa wanaamini katika Serikali kumiliki uendeshaji wa uchumi kwa asilimia mia moja. Kundi hili haliamini katika demokrasia shirikishi na kwamba kazi ya kupata viongozi inabidi ifanywe na watu wachache wafia nchi (Urusi na china).
Mrengo wa kulia wapo mabwanyenye wanaoamini katika nguvu ya soko huria kwa asilimia mia na umiliki binafsi wa mali. Kwa mujibu wa kundi hili kazi kubwa ya Serikali ni kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia na mali zake na kukusanya kodi, na kwamba kila mwananchi anapaswa kupambana kadri ya uwezo wake kujitafutia mali.
Ndipo mirengo ya kati, kati kushoto na kati kulia ilipobuniwa ili kurahisha dhana hizo mbili katika uasili na uhalisia wake na kufanya mirengo hiyo iwe mitano.
Mrengo wa kati wenyewe wapo maliberali (Cuf wanafuata msingi huu). ACT wanafuata mrengo wa kati kushoto...demokrasia ya ujamaa yenye uchumi shirikishi na viongozi wanapatikana sio kwa kutumia watu wachache (wafia nchi) bali hupatikana kwa kushirikisha watu wotee.
jebibay Mimi sio ACT bali nimevutiwa na itikadi yao kwani naamini kuwa binadamu wotee ni sawa.
Umesema umesoma kidogo na kuamua kuconclude...nakushauri usome zaidi kisha uconclude....hizi sio porojo....kitabu "The German Ideology" pia kitakusaidia.
Yani kwa mawazo yako ulitaka chama ambacho hata mwaka akijafikisha kiwe na mvuto zaidi ya hapo yani kiweje au ulitaka mpaka sasa watu wote wawe wamejiunga act tujaribu kutumia akili sana kufikiliahiki chama hakina mvuto kabisaaa!
Umeongelea uchumi tu ambapo ni sehemu mojawapo (ya muhimu ofcourse) tu ya siasa za Kushoto na Kulia.....
Kama nilivyosema mwanzoni, siasa za Kushoto na kulia zinasimama katika misingi asilia ya nchi na zilianzia ufaransa ambapo wale ambao walikuwa wanaelekea zaidi kudeviate kutoka kwenye misingi asilia walikuwa wanaitwa Leftists... Katika nchi zinazofuata siasa hizo, misingi hiyo waliachiwa na waasisi wao inajulikana kabisa !. Kwa mfano marekani imejengwa katika misingi ya Judeo-Christian values na policies zao nyingi in one way or another zimejengwa katika misingi hii. Deviations au kung'ang'ania katika misingi hii ndio inawadefine watu wako upande gani (left, right, centre, etc)
Siamini kwamba misingi yetu ni Ujamaa na Kujitegemea !. Hiyo ilikuwa misingi alioaianzisha Nyerere kupitia Chama chake na kabla haijawa established na kuweza kuwa qualified kama misingi ya taifa ilikufa tena Mbele ya waasisi (kabla Nyerere hajafa) na yeye mwenyewe alikiri kushindwa kwa siasa hizo. Sasa kama msingi wa ujamaa na kujitegemea ulikufa hata kabla muasisi wa taifa hajafa utasemaje tena alituachia ?
Vile vile kama msingi ni huo wa ujamaa na kujitegemea (ambao ni nyie wenyewe mmeamua na si taifa kwa ujumla wetu), then ACT hawawezi kabisa kuwa centre left bali watakuwa centre right kwa sababu wako karibu zaidi na misingi ila wamejaribu kuimodify kidogo.
Kwa kifupi hao ACT hawajui wanachokifanya, wanakurukia rukia vitu tu......
Itikadi ya ACT ni ya mrengo wa kati kushoto.....demokrasia ya ujamaa....mirengo ya vyama vingine ni ipi ili tupime mirengo hiyo kwa vitendo?[/QUO
Acha kumbwerambwera mtuambie kwanza msimamo wenu juu ya katiba mpya ni upi? nchi inaongozwa na katiba sio na mirengo ya chama. Kwenye katiba ya nchi kuna kilakitu ambacho wananchi wake wamekubaliana namna ya kuongoza nchi yao. Mtawala yeyote atakaye kuja inampasa kuheshimu misingi ya katiba. Sasa wewe unataka nchi iongozwe kwa mirengo ya chama? Tutabadirishiwa mirengo kila baada ya miaka mingapi? Huu ni utoto usio na maana yoyote. Leteni vitu vya maana tuwaamini siyo kutuaminisha kwa mirengo ambayo hata nyinyiwenyewe mmeshindwa kuiishi. Jamaa yako mwenyewe kataja malizake ameshidwa kutaja gorofa lake la dodoma ambalo lipo usawa wa lenta gorofa mbili pale kisasa halafu anajifanya mzaaalendo wizi mtupu.
Act imekuja kuua kile chama cha wachaga moja kwa moja.