Picha: Mkutano ACT Singida

vyama hivi havina jipya ipo siku vitapotea especially ACT

Endelea kusubiri, hakuna chama kitakachodumu milele, hivyo endelea ksubiri tu kama utapewa kuwa hai kwa miaka mingi ijayo.

ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI
 
mkuu chama chako vipi? Umesajili?

mimi niko CHADEMA tu hivi vyama vingine kama ccj adc act na Ckut mimi ni muasisi tu kwa lugha nyepesi Mimi ni "party engineer" napewa contract tu ya kuhakikisha vinapata usajili tu
 
Hawa maboya wananichekesha sana mwambieni mwigamba au mwenyekiti wakahutubie sehem kama hata watu 10 atapata huyo boya mwingine zito watu wanakuja kumshangaa tuu...ataimalizia ccm fedha buree ....chama cha upinzani kinatangazwa na vyombo vya serikali na makada wa ccm ...wanaokisapoti watakuwa zero brain kama kweli wanamageuzi
 
Yaani chama kimeanzishwa juzi tu ndo kimejaza nyomi namna hii? Kweli nimeamini Zitto anawajambisha CHADEMA
 

Una akili sana mkuu.

Wengi hawaoni hayo ndio maana wanakazania eti waone watu wakirudisha kadi.Ile fasheni ya maigizo wanataka kila mtu afanye maigizo.

ACT wanafanya siasa za kistaarabu zinazosimama kwenye hoja tu.
 
Una akili sana mkuu.

Wengi hawaoni hayo ndio maana wanakazania eti waone watu wakirudisha kadi.Ile fasheni ya maigizo wanataka kila mtu afanye maigizo.

ACT wanafanya siasa za kistaarabu zinazosimama kwenye hoja tu.

Zito ataimalizia ccm hela jamani..chama kinatangazwa na vyombo vya habar vya serikali kuliko kawaida...makada wengi wa ccm wanakishabikia.....hivi uliona wapi mtu anataka kukutoa madarakani unamshabikia maboya kweli hawa....kama mtu anajiita mwana mageuzi anashabikia hiki chama atakua zero brain na zito hela zitamyokea puani hzo
 
Haya bwana!! Tumeona ila unganeni na vyama vingine vya upinzani kama vikihiarika ili muufikie kwa urahisi ukombozi wa mtanzania wa sasa.Kura yangu ni ya upinzani ila mkiendelea kukagawanyika namna hii mtawakosesha raha wapenda mabadiliko ya kweli.
Umenena mkuu
 


  • Wanasiasa walioishiwa hoja hupakia na kutunga uongo, kashfa na propaganda kama tegemeo lao pekee la kuendelea kuwa relevant.

    Bahati mbaya kwao hawakujifunza kuwa HUWEZI KUDANGANYA KWA KILA MTU KILA WAKATI, miti ya uongo na propaganda tayari imeanza kuteleza na kuwaacha wakianguka. Siasa za uongo na propaganda zinaendelea kuyeyuka kama barafu kwenye jua.

    ACT inaendesha siasa komavu zinazosimamia hoja na suluhisho la matatizo ya mnyonge wa Tanzania.Ndio maana kwa mara ya kwanza chama cha siasa kinajitangaza kwa itikadi yake, ujamaa.Vyama vingine havina muda ata wa kueleza itikadi zao, bali misingi ya siasa zao ni uzushi na propaganda.

    HATIMAYE TUNA HARAKATI ZINAZOTUPA TUMAINI

    https://www.youtube.com/watch?v=l2whHgyLm50

    ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI​



 

Kinachonifanya kuidharau Chadema ni pamoja na kuendekeza siasa za kujadili watu na vyama badala ya sera za maendeleo.
 
Atakuwa kama Mrema,soon kitakufa hicho chama

Utabakia kuwa Thomaso, treni ya mabadiliko tayari imeondoka kituoni, safari imeanza, Wazalendo Watanzania Sasa Wanalo Tumaini.



    • ACT inaendesha siasa komavu zinazosimamia hoja na suluhisho la matatizo ya mnyonge wa Tanzania.Ndio maana kwa mara ya kwanza chama cha siasa kinajitangaza kwa itikadi yake, ujamaa.Vyama vingine havina muda ata wa kueleza itikadi zao, bali misingi ya siasa zao ni uzushi na propaganda.

      HATIMAYE TUNA HARAKATI ZINAZOTUPA TUMAINI

      https://www.youtube.com/watch?v=l2whHgyLm50

      ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI



 
Tatizo lenu CHADEMA mmefukuza wasomi wote mashudu,hamuwezi kufikiri tena.Mbona hata hicho kipeperushi cha majungu cha DJ MBOWE Tanzania Daima kinaandika.
 
Hivi ndugu BAK zile Email zimebuma.Mwambid ndugu DJ MBOWE Aongeze fungu maana huyu mtu ni mzito kweli....
 
Last edited by a moderator:

Atakuwa kama Mrema,soon kitakufa hicho chama

Ukiona hivyo ujue somo la uzalendo linawagusa sana tofauti na chadema wao wakipanda jukwaani hawakosi kuwadhihaki polisi wetu, uzalendo daima.
 
Kinachonifanya kuidharau Chadema ni pamoja na kuendekeza siasa za kujadili watu na vyama badala ya sera za maendeleo.

Umeongea jambo la mbolea sana.

Kuna wakati nilihudhuria mkutano mmoja ulifanyika kijijini kwelikweli, alafu mkutano mzima yanatajwa majina tu ya watu ambayo wanakijiji wenzetu ata hawajui kama ni mnyama au ni mdudu. Wanakijiji wale hawakuambiwa ata jambo moja kuhusu kilimo chao wala namna gani maisha yao yatabadilishwa.Hizi ni aina ya siasa za zamani ambazo zimepitwa na wakati.

Watanzania wanataka mabadiliko na kwa namna ya siasa zilivyo sasa hakika wanapaswa wapate mabadiliko.Mabadiliko kuondokana na siasa za taarabu na kuwa siasa za kushindania masuluhisho ya matatizo ya watu.Kutoka kwenye siasa za matusi na kashfa na kuelekea kwenye kushindania sera na mfumo bora zaidi wa kuleta maendeleo na kutatua matatizo yaliyopo katika nchi.

Hii ndio njia ambayo ACT wanataka kuifuata.Tuwaunge mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…