PICHA: Mitindo Mbalimbali ya Makazi ya Kisasa

Yaan mie hela yangu inaishia huko kwakwel...!siku nikipata maji ya bomba kwangu💃💃💃..uwii
Hatuchekani kabisa na kuna wakati nasema sinunui tena maua ila vinashindikana. Binafsi maua yananisaidia sana ku-unwind....nakuombea upate maji ya uhakika. Kudos
 
Hatuchekani kabisa na kuna wakati nasema sinunui tena maua ila vinashindikana. Binafsi maua yananisaidia sana ku-unwind....nakuombea upate maji ya uhakika. Kudos
Yaan uko kama mimi...mie kuna kipindi nilikia kilanjion narud na maua mawili had ma3..hahha hyo bei sasa...dah..yanasaidia mno kurefresh mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…