FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,416
- 7,828
- Thread starter
- #41
>> Football Shaped Design
Mtoa madaNani huyo?
Mwenye hiyo nyumba namjua anaitwa Morgan Tsvangirai nilisoma nae chuo miaka ya 2000 BulgariaHiyo nayo nzuri! Picha zake nyingine hizi hapa;
View attachment 1149936
View attachment 1149937
View attachment 1149942
Mtoa mada haishi huko ulipopasema.Mtoa mada
Wewe tunafanana kwenye hili, nyumba inanogeshwa na mazingira mazuri🌳🌴⚘🌷🌺🍀🌹🌸⚘🌷🌻Wengne hapa ugonjwa wetu maua jamani...
Wewe tunafanana kwenye hili, nyumba inanogeshwa na mazingira mazuri🌳🌴⚘🌷🌺🍀🌹🌸⚘🌷🌻
Yaan mie hela yangu inaishia huko kwakwel...!siku nikipata maji ya bomba kwangu💃💃💃..uwiiWewe tunafanana kwenye hili, nyumba inanogeshwa na mazingira mazuri🌳🌴⚘🌷🌺🍀🌹🌸⚘🌷🌻
Hatuchekani kabisa na kuna wakati nasema sinunui tena maua ila vinashindikana. Binafsi maua yananisaidia sana ku-unwind....nakuombea upate maji ya uhakika. KudosYaan mie hela yangu inaishia huko kwakwel...!siku nikipata maji ya bomba kwangu💃💃💃..uwii
Yaan uko kama mimi...mie kuna kipindi nilikia kilanjion narud na maua mawili had ma3..hahha hyo bei sasa...dah..yanasaidia mno kurefresh mindHatuchekani kabisa na kuna wakati nasema sinunui tena maua ila vinashindikana. Binafsi maua yananisaidia sana ku-unwind....nakuombea upate maji ya uhakika. Kudos
Are you serious?Mwenye hiyo nyumba namjua anaitwa Morgan Tsvangirai nilisoma nae chuo miaka ya 2000 Bulgaria
Hii ya Lionel Messi
Are you serious?