Picha: Miji ya Luanda nchini Angola

wakazi wa Dar jiji la maraha simje hapa muone,maana kutwa kutunanga sisi wa nje ya Dar na kutuita wa mikoani njoo na picha za jiji lenu chafu kuanzia mipango miji hadi mazingira yanayozunguka jiji
RRONDO naomba uje hapa na dar yako
 
Last edited by a moderator:
Hapa tutajidai kuja na kila aina ya visingizio kama ilivyo kawaida yetu, lakini kiukweli tunazisoma namba.. Picha tuu hizo zinazungumza hata kama kuna maeneo ambayo hali bado ni mbaya (Kila nchi duniani ina maeneo hayo) lakini jamaa wamejitahidi saana! Sisi tuna laana.
 
waangola kwao maendeleo ya haraka ni inevitable.zipo sababu nyingi za wao kwenda kasi kimaendeleo japo wamepigana vita ya wenyewe kwa wenyewe miaka mingi.lakini moja wapo (nadhani) ni kupiga marufu ile dini ktk nchi yao.nimebaini kwamba,baadhi ya mataifa ya kiafrica ambayo ile dini haina wafuasi wengi ,yapo vizuri kimaendelo japo kuna matatizo ya hapa na pale ktk mifumo ya kiutawala.
mtizamo wangu.

CC FaizaFoxy
 
Ukimaliza hizi naomba na zile picha za mbagala yao , Tandale yao uzitupie

Nikisema nitupie picha za dar mjini ( posta ) unaweza sema uko paradiso lkn hayo sio maisha halisi ya mkaaz wa dar
 
Duh! hapo kwenye uwanja wa mpira ndio panaitwa LIBOLO, walipompakatia MNYAMA ........teh! teh! ]





















[/QUOTE]
 
Ok mkuu Peter Tosh atakujibu
 
Dah! hao hatuwawezi,kwa aina hii ya uongozi yaani wametuacha mbali sana.
 
Mkionyeshwa picha kama hizo ina maana hatanyie mnaweza watakiwa kujiuliza hawajamaa wamefanyaje kisha nanyi mfanye kulaum haina maana wenzenu wapo walokufa na kupelekea hali kuwa hivyo,je, nani yupo tayari afe Tanzania iwe ka hao?
 
Mkuu kwani pesa za dhahabu, almasi na madini mengine tumezifanyia nini so far?
Mkuu hela za dhahabu na almasi huwezi kulinganisha na za gesi na mafuta. Kwa makadirio ya benki ya dunia, TZ itakuwa inaingiza wastani wa dola bilioni 3 kwa mwaka (kumbuka bajeti yetu ya mwaka huu wa fedha ni dola bilioni 12)!
Halafu hela za dhahabu na almasi zilikuwa zinaingizwa moja kwa moja kwenye bajeti ya nchi (budget financing), hivyo wananchi wengi walikuwa hawaoni mafanikio yake.
Hela za mafuta na gesi huwez kufanya hivyo unless unataka kuua uchumi wa nchi. Lazima kuundwe mfuko maalum (sovereign wealth fund)
 
ngudu yangu kw mji kama Dar huenda ikatugharim sana lakini kuna miji inayokua kwa kasi kama Mwanza,Arusha,Mbeya na Dodoma serikali ikiamua kuipangilia hii miji mapema tunaweza kuwa mara mbili ya jiji la luanda

Mmhhhhh!
 
Ukimaliza hizi naomba na zile picha za mbagala yao , Tandale yao uzitupie

Nikisema nitupie picha za dar mjini ( posta ) unaweza sema uko paradiso lkn hayo sio maisha halisi ya mkaaz wa dar

Mkuu, tufike tu mahali tukubali ukweli kwamba hapo maji ya shingo. Hakuna sehemu yoyote Dar, sio posta sio wapi ambapo pana muonekano, mpangilio, mandhari na mvuto kama kwenye hizo picha. Isitoshe, kwa Dar sehemu yenye mvuto ni Posta tuu na maeneo ya jirani. Wakati picha hizi zinaonyesha maeneo tofauti tofauti ya mji na yanavutia mno! Tukubali tuu..

Halafu mkuu unachekesha sana hapo kwenye bold, labda kama hujawahi kutoka nje ya dar/tz.
 

Wapi vinasa? Nasikia hao jamaa ni kujiachia full kinyama!
 
Ila kuna shombeshombe wengi. Natamani niibukie mitaa hiyo one day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…