Pamoja na civil war za muda mrefu lakini wametuacha mbali sana sisi "kisiwa cha amani"
ni kwa sababu ya mafuta.Pamoja na civil war za muda mrefu lakini wametuacha mbali sana sisi "kisiwa cha amani"
ni kwa sababu ya mafuta.
Hamna mkuu.....TZ bado haijaanza kuuza gesi nje!Sisi na dhahabu na gesi vimetufikisha wapi?. Sisi ni wazembe
Picha ya tatu hapo ni jirani na Airport, pazuri sana, ila siku ya kwanza nilibabaika sana sababu magari yanaendeshwa light hand, full kujichanganya.
Around one-third of Angolans live in Luanda, 53% of whom live in poverty. Living conditions in Luanda are poor for most of the people, with essential services such as safe drinking water and electricity still in short supply, and severe shortcomings in traffic conditions. On the other hand, luxury constructions for the benefit of the wealthy minority are booming. Luanda is one of the world's most expensive cities for resident foreigners........
Kumbukeni hilo!
Hamna mkuu.....TZ bado haijaanza kuuza gesi nje!
ngudu yangu kw mji kama Dar huenda ikatugharim sana lakini kuna miji inayokua kwa kasi kama Mwanza,Arusha,Mbeya na Dodoma serikali ikiamua kuipangilia hii miji mapema tunaweza kuwa mara mbili ya jiji la luanda
TANZANIA tuko nyuma kwa almost kila kitu isopokuwa KUUA ALBINO TU NDIYO NCHI INAONGOZA DUNIANI!,kazi kweli kweli.