Picha: Miji ya Luanda nchini Angola

Ngoja tusubili LOWASA may be he will do something.Alafu nehemia mchechu wa NHC anatoatoa macho tu
 
Ngoja tusubili LOWASA may be he will do something.Alafu nehemia mchechu wa NHC anatoatoa macho tu
huyo mchechu si ndo wanajilipa mishara minono alafu kazi wanafanya kwa kusua sua, hebu fikiria mkurugenzi wa NHC analipwa millioni 15 kwa mwezi anatembelea gari landcruiser kilimo kwanza anewekewa mafuta lita 1200 kwa mwezi na bado anapewa mafuta ya bure kwa ajili ya gari binafsi anawekewa vocha na anakaa nyumba ya serikali maji bure umeme bure.Bado unategemea tutaendelea kweli
 

yani mimi huwa nawaza tutafute mwekezaji huko ulaya watu wanapesa waje kujenga nyumba za kupangisha za bei nafuu flats kama hizi.Tukiwa serious unavunja manzese yote hadi magomeni then unashusha vitu hivi then kila mwenye kiwanja anapewa flat mmoja ku compasate nyumba yake.
 
Mkuu mawazo yako mazuri ila haitawezekana kwa kwa sistimu ya kubadilisha mawaziri kila mara na kuchagua wapiga domo(wanasiasa) na kuacha wachapa kazi walio somea
 

Nyau we mtoto unauliza maswali ya kijinga et watu watu ndo wamejenga so wataka nin unazan wanaish nyani hapo kwendaaaaa kaoge kwanza.nyie ndo tukiwapa ofisi mnakua wez af kutwa kulalamika wit no f***n action
 
Ngoja tusubili LOWASA may be he will do something.Alafu nehemia mchechu wa NHC anatoatoa macho tu

Mmmmh Ndoto lowasa ndo nan yan bado watanzania mna iman na maccm haya mmmh kaz ipo hyo Tz kua ka angola sahau kabisa
 

Hyo ring road hapo juu ni nyoko sie tuna round about kuuuubwa tz ipo pale msamvu manina ..
 

Unajua hao waloijenga Luanda wanalipwa kiasi gani?

Mtoto wa Dos Santos huenda ndo mwanamke tajiri zaidi Angola. Go figure bro ....
 
Nyau we mtoto unauliza maswali ya kijinga et watu watu ndo wamejenga so wataka nin unazan wanaish nyani hapo kwendaaaaa kaoge kwanza.nyie ndo tukiwapa ofisi mnakua wez af kutwa kulalamika wit no f***n action

Mosi, unafaidika nini kurusha matusi kwa usiemjua?

Pili, kati ya mimi na wewe nani anaelalamika?

Jijibu kabla hujanijibu. Ikikupendeza, waeza pia kukaa kimya. Nao ni uerevu!!

Kama utazungumza, twende kwa hoja. Matusi siwezi. So, wameonyesha majumba, still, hakuna watu! Kujenga nyumba mia unahitaji mkandarasi mmoja tu. Wanaoishi humo wako wapi? Kama ni kupya, kuliko na watu ni wapi?

Unanielewa napoulizia watu wapo wapi mantiki yake nini?
 
... Tz kua ka angola sahau kabisa

Kwanini unakata tamaa hivyo? Sasa hizo picha unaangalia ili ujichukie au ujifunze kwa aliekutangulia?

Vyovyote vile, hata himaya ya uingereza kuna wakati waliwahi kusema 'the sun doesn't set on the united kingdom' (corrupted quotation) mara marekani ikalizamisha.
 
Mkuu dhumuni si kufika huko ila tunataka kuangalia jinsi gani taifa ambalo lilikuwa vitani miaka mingi limeweza kuamka mambo ya rushwa ufisadi kwa nchi za Afrika ni kawaida na kwamba Angola viongozi wanaiba sana ila wanajitahidi kuibadili nchi yao kwa kiasi kikubwa kwa mfano kuna kipindi huwa wanavunja nyumba za uswahilini wanajenga mpya za kisasa zikiwa na huduma zote.
 

Sawa. Lakini, kuna haja gani badala ya kujadili namna ya kwenda mbele watu wanashindana kulalamika tuuuu.... hatutasonga kwa kulia wala kulaumu.

Kuhusu kuvunja 'vijumba' na kujenga 'majumba', je wanafuata taratibu walizojiwekea? Na je zenyewe zinaheshimu haki na wajibu za raia?

Karibu nisahau. Sasa unakiri Angola viongozi wanaiba sana. Huoni hayo maendeleo hayatanufaisha walio wengi? Labda ndo maana binti wa rais ni mwanamke tajiri kuliko wote huko. Huoni ubaya wa hilo?

Hisia zangu ni kuwa hiyo ni miradi ya wachache au watakatisha hela. Je hayo ndo maendeleo ungependa tuyafikie na sisi?

Twende bila matusi wala kejeli mkuu!!
 
Isabel Dos santos, she was africa's first female billionaire in 2013..

There you have her! Iwe tu hakuupata ubilionea kwa influence ya baba. Japo ngumu sana kuamini hivyo.

Na wachina wamewekeza sana huko kwenye mafuta yao. Kawaida huwa 'hawafuatili' siasa za walikowekeza..... Isabela moja ya vyanzo vya utajiri wake ni mafuta kama niko sahihi.
 

Watu unawataka wa nin swali la kwanza na la pili sijibu ila hoja yako af nahis we n mkaka ehe.??na he hzo nyumba ni za watu au ni nyani au wanafugia mchwa mle ndan mpka ulete kigezo cha watu wako wapi ndio mana nasema akil ako RAM yako ina ina 12Mb.wakati mie nina 1GB kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…