Picha: Miji ya Luanda nchini Angola

Maskini sisi hatuna tena hata hilo jina, sasa ni Barack Obama Drive... sheeeda sana bana!
Ooh nilisahau si unajua tena tupo huku porini Isungang'wanda, barabara siku hizi kila siku vikao kubadilia majina wakati yalidumu miaka kutokana na barabara nyingi kubeba historia flani
 


Labda excluding wewe na mimi ila wabongo wengi ni useless kiasi kwamba mpaka majirani zetu wanatujuwa kwa hilo.
 
Hata watu hawaonekani kwenye nyingi ya hizo picha. Kuna kitu hakipo sawa.

Picha zipo sawa mkuu, hapa picha nyingi zinaonyesha motor ways au highways. Hapo huwezi kuona watu kwa kuwa hakuna sehemu ya kupita watu ni magari tu.

Hivi ndivyo miji ya wenzetu inavyojengwa, sio unakuta watu wanavuka kwa miguu Nyerere rd halafu tunasema highway!
Au unakuta matuta kwenye highway, hivi ndivyo zinavyokuwa, hakuna sehemu ya kuvuka kwa miguu ndio maana hakuna watu!.
 
Labda excluding wewe na mimi ila wabongo wengi ni useless kiasi kwamba mpaka majirani zetu wanatujuwa kwa hilo.

Jamaa, wako wengi sana 'useful' na wanaonyesha 'usefulness' yao. Ile tu kutokuwa mtu wa kulalamika ni jambo kubwa sana. Ghubu inakera eti!!

For God's sake, najikuta naanza kuamini kuna watu wamekula 'njama' kufanya waTanzania wawe waliokata tamaa na kuishia kulalamika kama vile hawawezi kuchukua hatua kubadili hali.

Hiyo ni mbaya sana maana waliokat tamaa ni watu wa kulipuka na kuleta maafa. Kwanza huwa hawaoni faida yoyote kujibidisha.

Huwa wanamimi 'wameshalogwa', 'CCMscrow haitaki kutoka madarakani', 'undugunaizesheni umekithiri', 'wachagga wameshikilia biashara zote', 'watanzania ni wavivu', 'watanzania ni wezi sana hawaaminiki', 'bora kuwa mbwa nje kuliko mtu Tanzania', n.k.

Watu aina hii wana asili ya kuambukiza ujinga wao kwa kasi utadhani ugonjwa wa tauni.......
 
Shedafa, hata kama ni highway, mbona hata magari hakuna? pale stendi ya basi watu wachache tu. Na pale kituoni waliokaa wanaonekana wa 'kawaida' saana.....

Sikatai ni kuzuri. Nataka kuona pia kijamii wapoje. Maana majengo na mabarabara bila wa kuyatumia ni bure.

Au picha ziko staged....?
 
Last edited by a moderator:
Tutaweza wapi na uku tunashabikia kuchagua wala rushwa akina Lowasa na CCM yake? Kazi kupiga dili tu kila kukicha kusikiliza nani kafisadi mabilioni mangapi na wa wapi na uku Rais akiwachekea na kuwatetea kwamba siyo pesa za serikali hizo
 
Mkuu Msemakweli mfuko huu unaitwa sovereign development fund na lengo lake ni ku-facilitate all national development projects. Nimekaa hapa huu mwaka wa nne, hawa jamaa wametuacha sehemu kubwa sana. Nina imani hatujachelewa sana tunayo nafasi ya kutengeneza upya nchi yetu ingawa siyo kitu rahisi. Tuanze sasa.
 
Naenda zangu Luanda, Angola...bakini tu Dar yetu yenye uzuri wa UCHAFU na HARUFU MBAYAAA...
 

Nathani na population pia inachangia!
 
Ina maana Luanda-Angola hakuna misikiti? :heh: :becky:
 

Unauliza maswali ya kijinga unafikiri hapa kwenu watu wanatembea toka kkoo-magomen kwa miguu hizo nchi nyingi kuna watu wanatumia pr. Cars pia kwenye bus stop huwez kuta watu weng coz usafiri uko vzur kila baada ya mda fulan gar inakuja kupakia watu huwez kuta watu wako kwa miguu unless jion watu wanafnya jogging pembezon mwa road Nyau wee tembea uone i was there maisha mdogo mdogo pia nimetembea nchi nyingi kusin mwa africa ila Tz n nyoko hamna kitu hapa watu wanasifia road ya iringa ndo nzur hakuna kitu pale miaka 5 mbele hoi kwanza highway ina matuta haipo katka dunia hii only in fuckin Tz...
 
Last edited by a moderator:

Typical ya frustrated being......

Mi nauliza kistaarabu tu, wewe unaendeleza za kuzodoana na kutukanana! Waendelee wengine mkasirike nyie.

Kutembea kwako maeneo mengi kumekufanya mtumwa badala ya kukufungua zaidi. Umeenda kwa jirani pazuri, unarudi kugombana na nduguzo. Aibu na iwe juu yako kwa matusi ulotoa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…