SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,110
- 75,564
Hata wewe uliye jikoni unailiza? Lakini akitekwa tunajua ni nyie.Leo nimenoti Membe anaandikwa sana.. kunani?
Hata wewe uliye jikoni unailiza? Lakini akitekwa tunajua ni nyie.Leo nimenoti Membe anaandikwa sana.. kunani?
Wanasema amekanyaga grid ya taifa.K
wa ramli tuliyopiga mara mbili tumegundua ajae hakuna anayemtegemea kabisaaa. Majina yake yanaanzia na harufi H A M
Kama unampenda amia kwake.Bernard kamilus Membe enzi za ujana wake.
View attachment 912715
Kama picha yake unaipenda nenda kanywe nae chai.Bernard kamilus Membe enzi za ujana wake.
View attachment 912715
watu walikuwa wamemmiss tu, leo alikinukisha kidogo kwenye TV vipindi vya kiutu uzima vile ambavyo wadada hampendi kuangaliaLeo nimenoti Membe anaandikwa sana.. kunani?
watu walikuwa wamemmiss tu, leo alikinukisha kidogo kwenye TV vipindi vya kiutu uzima vile ambavyo wadada hampendi kuangalia
Uvccm wameanza fitna mapema kuonyesha wazi hawakubaliani na jiwe, stay tuned yajayo yanafurahisha...Duh yaani kila nikiingia humu nakuta anazungumzwa Membe kulikoni jamani
Habari ya townNaona membe ana trend sana jf
Ova
Wananchi wanamhitajiCCM acha atrend tu mmeyataka wenyewe
Kila sehemu membe hee!disgustingaiseee
Kumbe hata pua hukua na mwili?Bernard kamilus Membe enzi za ujana wake.
View attachment 912715