Picha: Membe enzi ya ujana wake

Picha: Membe enzi ya ujana wake

Ku trend kwa Membe JF na kuhusu zao la korosho huko Mtwara na Lindi naanza pata picha kuna kitu kinatengenezwa hapa.
 
Naona mnampa kiki sana huyu mzee.
Hatutaki siasa sisi humu saizi.
Tunahangaika na watu wasiojulikana saizi
 
Duh yaani kila nikiingia humu nakuta anazungumzwa Membe kulikoni jamani
 
Kuna juhudi kubwa Sana Za kumchonganisha Mh.Rais na Makada wa Chama chake
 
Hivi wiki hii mmeplan nini juu ya Membe? Maana hizi thread za Membe humu zimekuwa too much, na kwa akili za uvccm haya ni maandalizi ya kumchomowa pesa.


Ukiona hivyo ujue wanaplan ya kumteka. Chama cha watekaji siyo cha spoti spoti
 
Back
Top Bottom