Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Tunatekeleza!
halafu jua la mtama bwana weweee sio kuchoma kule bah!!!Du! Amewaanika wenzake kwenye jua!
Hahaha kwakweli mr.millerkuwatawala watanzania rahisi sana yani hahaha
mbona kauli mbiu yake anapishana na mwenyekiti wake....... "kazi zaidi, kasi zaidi" badala ya "hapa kazi tu"??Tunatekeleza!View attachment 810185
Kulia kwa mwenye red na black...Kati ya waliokaa hao yeye yuko wapi?
Leo siku ya fainali bila shaka atakuwa ameona "goli la mkono"?!Tunatekeleza!View attachment 810185
Acha kujikomba komba kwa wakubwahaha Mh. nilikua mitaa hiyo ungeni pm hata nibaki tucheki mechi.
Dereva wangu nenda kawaletee soda na bites watazamaji waongezeke.kuwatawala watanzania rahisi sana yani hahaha