Picha mbalimbali za ma-father katika maendeleo ya science

Picha mbalimbali za ma-father katika maendeleo ya science

Nataka mlete fadher of money nimtukane mpaka afufuke anieleze kiherehere cha kuanzisha pesa
Amkufa Jana bado anabikra,subiri itolewe na jini mahaba kwanza
 
Mbona sioni mtu mweusi hata mmoja, nikweli Africa hatukuwa na wanasayansi ama ni ujinga wa wazee wetu hawakuweza kutunza kumbukumbu za kihistoria na kisayansi kutokana na kutokujua kusoma wala kuandika?
Waafrika tunaficha sayansi zetu-- Imagine mtu anaelea na ungo kama la kupepetea nafaka halafu hataki kusema ni sayansi ipi inayomshikilia angani
 
Wengine hapo picha zao zimechorwa tuu maana enzi zao hakukua na Camera....
 
Safi sana... Ila wote walikufa masikini...




Cc: mahondaw
Kama unaamini ktk biblia... Adamu na Eva siamini kama walimiliki hata baiskeli. Yote tunayo enjoy sasa ni matokeo ya walio pita. Vizazi vinavyokuja vitaenjoy matokeo yetu wa mwisho ndie mshindi. Ni nani? Hata mi sijui
 
Back
Top Bottom