Huyu ni scientific lordKatika hao wotee tukumbuke NIKOLA TESLA ndiye great father of morden electricity. Namkubali sana huyu jamaaView attachment 1485884View attachment 1485885
Niambie mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini?Hao malegends wote asilimia 90..walikua hawajaoa..
Jiulize kwa nini??
Na ndo nlitaka nseme mbona hiki chuma kmesahaulika? Kumbe umemkumbuka safi. Tena historia inasema jamaa alikuwa mpole sanaKatika hao wotee tukumbuke NIKOLA TESLA ndiye great father of morden electricity. Namkubali sana huyu jamaaView attachment 1485884View attachment 1485885
[emoji23][emoji23][emoji23] Ndo utupe siri mkuuHao malegends wote asilimia 90..walikua hawajaoa..
Jiulize kwa nini??
Atakuwa labda Nyani NgabuHv yule mwamba aliegundua MOTO mbona hawamtaji?? Kugundua moto si mchezo mazee. Bila yule tungekua bado tunakula nyama mbichi.. Mambo ya mishkaki sjui nyama choma yasingekuwepo kabisa!
Mkuu jiongeze..[emoji23][emoji23][emoji23] Ndo utupe siri mkuu
Kinjikitile ngwale uliwafelisha sana wadau kuanzia mchupi [emoji23][emoji23][emoji23] mpaka vitani [emoji23][emoji23][emoji23] mabaharia walikwama wapi sijui [emoji23][emoji23][emoji23]
Mara nyingi ukiwa man alone akili inawaka sana..........Hao malegends wote asilimia 90..walikua hawajaoa..
Jiulize kwa nini??
Nakuelewa sana thread bado hii atulie!Thread imeisha kwani!
Hao malegends wote asilimia 90..walikua hawajaoa..
Jiulize kwa nini??
financial services mke mwema.Mara nyingi ukiwa man alone akili inawaka sana..........
Stress za ndoa zinaweza kukurudisha nyuma sana, lakini ukipata mke mwema...........the sky is your limit