Picha mbalimbali za ma-father katika maendeleo ya science

Picha mbalimbali za ma-father katika maendeleo ya science

Hawa jamaa walikuwa na uwezo mzuri wa kufikiri kwa kutumia vichwa vya juu
 
Anaitwa Alfred Nobel
Ndio mgunduzi wa milipuko
 

Attachments

  • images (12).jpeg
    images (12).jpeg
    5.7 KB · Views: 13
Kuna uhusiano gani kati ya kusex na kuwa na IQ kubwa maana ukicheki almost hawa manguli wote hawaajacha watoto
Just imagine Tesla angekuwa lab anafikiria vitu konki alaf inaingia msg toka kwa Newton ikimwambia kwamba demu wake kaonekana lodge na msela mwingine?

Mapenzi yanastress za kisolo sana, alaf yanarudisha sana watu nyuma.
 
Modern Electricity ndiyo nini au inahusu nini ?
Hiyo ni kwa sababu Nikola Tesla yeye ndiye mgunduzi wa umeme wa AC na AC motors ndo maana hata Elon Musk hizi gari zake za umeme za kisasa ameziita Tesla pia Nikola Tesla yeye ndiye aliye gundua au mwanzilishi wa hizi hydroelectric power plants hizi zinazo tumika hadi leo hii. Nikola Tesla akaenda mbali zaidi kutaka kusambaza umeme dunia nzima wirelessly for free but kuna kuna watu wali mkwamisha katika hii project yake. Haya mambo yote ya wireless tunayo yaona kwa sasa Nikola Tesla amehusika kwa kiasi kikubwa. Fatilia historia yake jamaa ame gundua na kufanya vitu vingi tuu na alikuwa na idea za hatari sana.
 
Back
Top Bottom