Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Binafsi nimekaa kwa kipindi kirefu mno Alberta.
Na wewe tukuitaje, kwamba unatulingishia au kwamba umekaa Alberta? Fuatilia maisha yako kijana, fanya kazi uongeze kipato chako ili utoke low income kwenda angalau middle income itakusaidia zaidi!