Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,315
- 28,597
Ni kuturingishia au kutu-joke,kama vile hatujawahi kufika huko au ni ulimbukeni.
Gharama za kutanua huko majuu zinasimamiwa na nani?Ni kuturingishia au kutu-joke,kama vile hatujawahi kufika huko au ni Ulimbukeni.
![]()
Ziko wapi? Mbna umeleta moja tu? Acha ulimbukeni in mana watu wote wanaopost picha wanalingishia?Ni kuturingishia au kutu-joke,kama vile hatujawahi kufika huko au ni ulimbukeni.
![]()
Huyu si ni yule mwanafunzi wa Yesu aliyemuuza Yesu kwa vipande 30 huyu anakula hera ya kuwasaliti Watanzania kwa kununuliwa na Ccm huyu ni Babu msalitiNna shaka na huu utanuzi wa dr slaa huko majuu bill zote analipia nani na kwa makubaliano yapi? Na kama ni yeye kaitoa wapi hii hela yote?
***Huyu si ni yule mwanafunzi wa Yesu aliyemuuza Yesu kwa vipande 30 huyu anakula hera ya kuwasaliti Watanzania kwa kununuliwa na Ccm huyu ni Babu msaliti
Ile hela aliyo vuna pale ccm unadhani ni ndogoNna shaka na huu utanuzi wa dr slaa huko majuu bill zote analipia nani na kwa makubaliano yapi? Na kama ni yeye kaitoa wapi hii hela yote?
Nna shaka na huu utanuzi wa dr slaa huko majuu bill zote analipia nani na kwa makubaliano yapi? Na kama ni yeye kaitoa wapi hii hela yote?
Sidhani kama alinunuliwa. Kwa ujio wa ghafla wa Lowassa ndani ya chama/UKAWA hakuna ambaye hakuteteleka. Ilitia hasira kwa kila mtu hadi mimi sembuse mzee Slaa ambaye alikuwa ni top leader and expected contestant. Hakika mbowe alituuza na ndiye msaliti mkuu.Huyu si ni yule mwanafunzi wa Yesu aliyemuuza Yesu kwa vipande 30 huyu anakula hera ya kuwasaliti Watanzania kwa kununuliwa na Ccm huyu ni Babu msaliti