kulwa shabani
Member
- Nov 2, 2016
- 63
- 36
Magaidi wapo vitani kujikomboa katika mikono haramu je? Makonda anaomba au anaombewaMagaidi upiga dua wakiwa na AK 47 na mikanda ya kujilipua je hivi maswali hayo ndugu zangu tunajiuliza kweli kuhusu Uislam na duwa?na hapo wakitoka kupiga duwa wanaenda kuchinja watu. Duwa popote wakati wowote Mungu wako ataipokea tuu