Miss-Thang
JF-Expert Member
- Mar 4, 2009
- 364
- 244
Maigizo yanaendelea.....
Ni moja, ya jumuia za chama chetu.Bakwata ni nini?
huyo ndiye kijana aliyekuwa anazunguka kwenye mikutano akihubiri injili ya Yesu Kristo, leo baada ya kupata pesa na cheo, anaombewa na watu aliokuwa anahubiri kuwa hawamtaji Yesu kama mwana wa Mungu.hahaha. ametapikwa na Mungu, anahitaji msaada toka kwa watu wasio wa Mungu. adhabu yake ipo karibu toka juu Mbinguni kama hatotubu. vijana jifunzeni, unaweza kuharibu maisha yako kwa kitu kidogo sana na kuyarudisha ni ngumu sana.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Wenzako wanajengewa msikiti wa kisasa, unafikiri watakuelewa unachosema? wako busy kumuombea mfadhili waoUislam unapaswa iwe dini ya hekima na busara,lakini hawa masheikh wa Bakwata wanaifanya hii dini iwe ya masheikh vilaza na wachumia tumbo,sasa hawa masheikh wanamumbea nini Bashite wakati Bashite ana imani nyengine...nashindwa kufahamu hawa masheikh feki wanamuombea nini huyu jamaa au wanazuga tu kama kwaida yao..kweli adui yako muombee njaa..naona vi milioni mbili mbili zimewapagaisha....
elimu baba, Mtume Mohamed SWA aliposema tafuteni elimu hata ikibidi Uchina walidhani kuwa ni maneno ya mzaha, sasa ona njaa inavyowaadhirisha mchana kweupe. Wanamuombea mtu ambae alipaswa kujiombea yeye mwenyewe kwa Mungu wake. Dua hizi zinaweza kumdhuru mkuu wetu wa mkoa badala ya kumkinga, maana hajafikia vigezo vya kuombewa na waislam.Uislam unapaswa iwe dini ya hekima na busara,lakini hawa masheikh wa Bakwata wanaifanya hii dini iwe ya masheikh vilaza na wachumia tumbo,sasa hawa masheikh wanamumbea nini Bashite wakati Bashite ana imani nyengine...nashindwa kufahamu hawa masheikh feki wanamuombea nini huyu jamaa au wanazuga tu kama kwaida yao..kweli adui yako muombee njaa..naona vi milioni mbili mbili zimewapagaisha....
MASHEIKH WA BAKWATA HAO , WANAJAMII MSISHANGAE.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Mungu ni mwenye hekima sidhani kama yupo na mawazo kama yako wewe au waislam jina kama wewe,Nguzo kubwa sana ya wewe kuweza kuingia ahera ni UPENDO,acha kusoma hadith wewe ndio hizo zinakupotoza na wenzako matokeo yake mnachinja binadamu wenzenu kama Ng'ombe au Kuku.Soma Qur'an takatifu uielewe vizuri .Wote sisi ni viumbe wa Allah kama hukumu ni wote hakuna cha wakristo wala Waislam tutahukumiwa kutokana na mema na mabaya yetu tuliyofanya wakati wetu Duniani.Nyinyi wakiristo mnashangaza sana, munataka msamaha kwa Allah na dua toka kwa waislamu ili shida zenu ziwaondokee ilhali hamuamini uwepo wake. Hakuna mantiki yeyote kwa wale mashehe kumuombea makonda. makonda alitakiwa kwanza asilimu aamini katika uislamu sio imani yako ni yesu mtoto wa mungu halafu unataka msamaha toka kwa Allah. It is good for nothing. Hakuna tofauti na yule shehe aliyemlilia nyerere bungeni shida kubwa wanatafuta posho tu wakijaribu kutaka kuudhalilisha uislamu.
Quran ~ Mayahudi na Manasara hawataridhika nasi mpaka tufuate mila zao. “Mayahudi hawatokuwa radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao....
Wakiristo wanatafuta namna kuwafanya waislamu waisahau dini yao inafundisha nini na ndio sasa yanatokea kama haya ni mtihani mkubwa sana na haikubaliki.
Kumbe unatambua sote ni viumbe wa Allah, soma uislamu vizur upendo bado haijakuwa ibada ya kuingia peponi, tusome vizur uislamu tujuwe tunafanya nn na nn. Mayahudi na Wakiristo wanaziteka akili zetu tuone ni watu wa kawaida huku tukifuata mila zao polepole.,Mungu ni mwenye hekima sidhani kama yupo na mawazo kama yako wewe au waislam jina kama wewe,Nguzo kubwa sana ya wewe kuweza kuingia ahera ni UPENDO,acha kusoma hadith wewe ndio hizo zinakupotoza na wenzako matokeo yake mnachinja binadamu wenzenu kama Ng'ombe au Kuku.Soma Qur'an takatifu uielewe vizuri .Wote sisi ni viumbe wa Allah kama hukumu ni wote hakuna cha wakristo wala Waislam tutahukumiwa kutokana na mema na mabaya yetu tuliyofanya wakati wetu Duniani.
Kumbe unatambua sote ni viumbe wa Allah, soma uislamu vizur upendo bado haijakuwa ibada ya kuingia peponi, tusome vizur uislamu tujuwe tunafanya nn na nn. Mayahudi na Wakiristo wanaziteka akili zetu tuone ni watu wa kawaida huku tukifuata mila zao polepole.,
mr London hiyo nguzo ya chuma (UPENDO) imebeba kila kitu na ukiwa na upendo wa moyoni haswa, hao Mayahudi na Wakristo usingewaita au kuwaona ni tofauti na mimi au wewe , ungewaona ni Binadamu wenzako wanaohitaji upendo hata kama maadui zako,Kwanini uhukumu watu hapa duniani je wewe utahukumiwa na nani ukibaki mwenyewe?
Hii sala hata mimi natamani kumuombea Paulo Pogba a.k.a Yohana Ropokozi Mapadlok!Mimi pia Sheikh vile vile.
Na namuombea Makonda Mungu amuumbue km anavyo waumbua wanyonge wasio na Hatia.
Amdhalilishe km anavyodhalilisha watu wasiokuwa na Hatia.
Amporomishe Chini km alivyo mporomosha Firaun na Maadui wa haki wengine.
Na ampige maradhi yasio poneka kwa Dhulma anazofanyia watu wasiokuwa na Hatia.
Can i get "Amen" .
Ahsanta.
Mbona ya Mwigulu yameisha? Ni upepo tuu...hayo yote tisa, kumi aoneshe cheti chake cha kidato cha nne basi mwisho wa mchezo asipofanya hivyo issue hii ni mwiba wala haitaisha Leo wala kesho.ANALO.