Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

We Crashwise LEMA anakutuma Uje umpigie Promo za kitoto hapa! Mwambie dawa yake ni boksi la kura 2015.
Ubunge atausikia kwenye Bomba!
 
Last edited by a moderator:
We Crashwise LEMA anakutuma Uje umpigie Promo za kitoto hapa! Mwambie dawa yake ni boksi la kura 2015.
Ubunge atausikia kwenye Bomba!


Kwa hiyo wewe ndio utapanga matokeo ,wala hatuhitaji kura yako kwa mtu mwenye mawazo kama yako .
 
Last edited by a moderator:
Mapokezi ya Zitto yalikuwa niya kawaida tu ikizingatiwa wengi tulioenda hasa sisi Chadema chama na sio wale Chadema Zitto tumeenda kumsikiliza anakuja na porojo gani? na hao ndio tulikuwa wengi.Tumemsikia hakuna jipya tofauti na kutafuta hurumakwetu!

mkuu kwani zito yupo sakina?
 
Wanajua walicho kifanya kwenye mapokezi hayo CCM wametumia pesa nyingi sana kuratibu....

Uko sawa kwani mapokezi ya Zitto hayana sura ya Ki~chadema,hayafananii kabisa na peoples power???Ni chama gani hicho kipya anachotaka kukianzisha???
 

chadema vikao vyao viko jf ndo maana kurugenzi na tumaini makene wanashinda huku
 


Na hiyo Chadema inayonuka ufuska na utapeli wa ruzuku za chama ikiwa pamoja na majambazi waliokuja kujificha humo
 
huwezi kuwafananisha hao wavuta bangi waliokuja kumlaki muhuni mwenzao lema, na hawa wananchi wazee, wakinamama, wakinababa, vijana na watoto walikuja kumpokea mbunge wao zitto.

hahaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Zito kabwe ni kijana makini,mwajibikaji na mahiri lakini jamani hawa wanasiasa tunatakiwa kuwa makini nao namwamini sana huyu kijana lakini sio kwa asilimia zote coz siasa za nchi yetu hazitabiliki....wananchi tunahitaji mabadiliko lakini wanasiasa wetu hawayataki haya mabadiliko coz wanabadilika kama kinyonga kuna wakati namwamini zito lakini pia kuna wakati ananikatisha tamaa lakini bado nayatafakali sana mawazo na misimamo yake jamani watanzania hebu tujifunze kuyapambanua mambo kuliko kuwategemea wanasiasa watutafunie kila kitu ndipo tuone mwanga,tuwape nafasi kulingana na kwamba wao ni viongozi wetu lakini tuwe na tahadhari kubwa na wanasiasa hawa ambao wameshika hatamu ambayo inaamua almost sehemu kubwa katika maisha yetu
 

kwa hiyo yote yabayoonekana kwenye picha za lema ni majambazi.. kama ni elimu hata prof kapuya ni msomi lakini kazi anayoiweza ni kusambaza ukimwi kwa watoto yatima...
 
Hongera brother zito nakumbuka mwaka 2007 kwenye operation sangara ulizunguka kanda ya ziwa peke yako
 
Ni kweli ,kama ilivyo kosa kumfananisha aliyemtoa bikira mama yako mzazi ,na baba yako aliyekuta mama yako kabikiriwa,watu washachukua madini!
Umefuzu kozi ya matusi inayoratibiwa na BAVICHA, sasa unaweza kuwa mbeba ma-file na begi la laptop ya BABU.
 
We Crashwise LEMA anakutuma Uje umpigie Promo za kitoto hapa! Mwambie dawa yake ni boksi la kura 2015.
Ubunge atausikia kwenye Bomba!

kwa kuwa wewe huwa unatumwa basi kila mtu anatumwa..
 
Last edited by a moderator:
We Crashwise LEMA anakutuma Uje umpigie Promo za kitoto hapa! Mwambie dawa yake ni boksi la kura 2015.
Ubunge atausikia kwenye Bomba!

kwa kuwa wewe huwa unatumwa basi kila mtu anatumwa...kwamwendo huu wa ccm safari hii mtapata kura elfu tano(5000) kati ya kura 100,000..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…