Mungai Msele
Senior Member
- Dec 19, 2013
- 105
- 28
mkuu umesahau kuweka na hii picha kudhibitisha mkutano kaandaliwa na chama cha mizigo(ccm) check bendera zinazpamba uwanja na rangi ya kijaniNimecheka sana mkuu, za kupotea...
Kamanda angalia Zitto asije kuwapa ugonjwa wa moyo.Huu utani sasa, nina uhakika unatania....au ndiyo mtani jembe
Leo Kigoma kaskazini kumetokea mapokezi ya mbunge wao Mhe. Zitto Zuberi Kabwe sitaki kuangalia yameandaaliwa na nani yawe yameandaa UVCCM ama CCM Zitto ninachotaka hapa tukiangalia ni mwitikio wa wananchi kwenye jimbo lake tukilinganisha na mwitikio wa mapokezi aliyowahi kuya pata mhe. Godbless Lema yaliyoanzia Kia mpaka jijini Arusha(Stand ya Nduruma)
View attachment 128023
View attachment 128024
View attachment 128038View attachment 128037
Mkuu ID yako imeingiliwa ama?Kwa hiyo tofauti ni kwamba Zitto kapokelewa na wazee wasiojitambua na Lema amepokelewa na vijana wanywa viroba...
Kwanz kabisa G.Lema alichaguliwa na watu takribani 60,000. acha zilizoaribika na kupotea,Wakati zito alipata kura elf 20 tu,
Kwahiyo ulitaka Zitto achaguliwe na watu gani zaidi ya wana Kigoma Kaskazini?Taasisi kubwa kama Chadema, Haiyumbishwi kamwe maana Uongozi wake ni Mamlaka Kamili"
Kumfananisha Zito na Lema ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu.
Zito hana wa kumfananisha katika Chadema ahata Dr Slaa analijua hilo na ndilo Chadema linalowaumiza kichwa. Kwani nyota yake ni kali sana hakuna wa kuweza kuizima.
Ok Tusubiri CC ya chadema kama itaweza kumfukuza baada ya utetezi wake uliosheheni kuikosoa na kuonyesha namna walivyovinja katiba katika kadhia yake.
Leo Kigoma kaskazini kumetokea mapokezi ya mbunge wao Mhe. Zitto Zuberi Kabwe sitaki kuangalia yameandaaliwa na nani yawe yameandaa UVCCM ama CCM Zitto ninachotaka hapa tukiangalia ni mwitikio wa wananchi kwenye jimbo lake tukilinganisha na mwitikio wa mapokezi aliyowahi kuya pata mhe. Godbless Lema yaliyoanzia Kia mpaka jijini Arusha(Stand ya Nduruma)
View attachment 128023
View attachment 128024
View attachment 128038View attachment 128037
tofauti ya zito na lema ni kuwa zito hakuwahangaikia wanakigoma mwenzie lema yupo mioyoni mwa wanachadema arusha na zito kakiri kwenye hotuba yake kuwa yeye anahangaika na mambo ya watanzania na si ya wana kigoma. Na ukitafuta uungwaji mkona kati ya lema na zito, na wanachadema lema ni zaidi ya zito