PICHA: Mapokezi ya Prof Lipumba; Afande sele atumbuiza

Naona mapofu yanakutoka..keep on dreaming..

chama cha wananchi kitabaki milele hadi utakufa chenyewe kitakuwepo bisha?

hatuna sababu ya kununua kura @ kura 200,000/- kama chadema na CCM..wao mafisadi

wananchi watakilinda chama chao..

Mbona umepanic kusikia CUF ni maiti inayotoa harufu na Lipumba ndo kaja kuzika mzoga huu?

Othewise punguza jazba alafu :focus:
 
Chadema bana sasa mna ugomvi pia na CUF?

Ndio maana nasema anayefikiri chadema wako serious amepotea pole..mkuu

Hatujawahi na hatuwezi kuwa na ugomvi na chama chochote kinachokufa. Kama hatukuwa na ugomvi na cuf ikiwa hai, ni dhahiri kwamba hatuwezi kuwa na ugomvi nayo wakati huu inapoingia kaburini.

Chama kisicho makini ni kile kinachokimbia uchaguzi, sasa sijui mnataka kuhamishia wapi siasa kama mnakimbia majukwaa ya siasa.
Au ndio mmeanza kujielekeza kwenye bongo fleva, tumeona mafanikio mliyopata kwa kumwalika baba tunda katika mapokezi ya Lipumba!
 
Mbona umepanic kusikia CUF ni maiti inayotoa harufu na Lipumba ndo kaja kuzika mzoga huu?

Othewise punguza jazba alafu :focus:

Punguza unaazi wako ndiyo uendelee..

Besides, nimeshakwambia wewe daudi utakufa na kuwa mzoga unaonuka (bisha)?? na utaiacha CUF ikinawari...back to topic..
 
Hatujawahi na hatuwezi kuwa na ugomvi na chama chochote kinachokufa. Kama hatukuwa na ugomvi na cuf ikiwa hai, ni dhahiri kwamba hatuwezi kuwa na ugomvi nayo wakati huu inapoingia kaburini.

Chama kisicho makini ni kile kinachokimbia uchaguzi, sasa sijui mnataka kuhamishia wapi siasa kama mnakimbia majukwaa ya siasa.
Au ndio mmeanza kujielekeza kwenye bongo fleva, tumeona mafanikio mliyopata kwa kumwalika baba tunda katika mapokezi ya Lipumba!

Sasa kama kinakufa wewe kinakukera nini wakifanya mambo yao? really eti kinakufa huku unaulizia habari zao..

Wewe endelea kuota (keep on dreaming) kwamba CUF kinakufa..utakufa maranya CUF itabaki ikinawari mkuu (naweza ku-bet)..

CUF wanafanya siasa za kisayansi huwezi kwenda kununua kura @ kura 200,000/- ukifikiri unafanya siasa..pole sana
 
Idadi kubwa namnahii inaonyesha wananchi wanashida sana ya mabadiliko, ila tatizo hakuna chama chenye nia ya dhati katika kulifikia lengo hili, vyama vyote vimejaa ubinafsi, ukanda, majungu, unafiki wa kutenda wasiyoyaamini, n.k.

Sina la kuongezea mkuu,hilo ndilo tatizo lililopo hapa Tanzania na litatusumbua kwa muda mrefu sana!!
 
Punguza unaazi wako ndiyo uendelee..

Besides, nimeshakwambia wewe daudi utakufa na kuwa mzoga unaonuka (bisha)?? na utaiacha CUF ikinawari...back to topic..

Wingi wa kura ni fundisho tosha kwa chama chochote makini , pia mtaji wa kura ndo matarajio ya kila chama ili kushika hatamu,
Hebu weka tathimini ya idadi ya kura mnazopata tukianzia uchaguzi mdogo wa igunga mpaka ule wa nyumbani Zenji hadi huu wa arumeru mashariki mliosurrender.
Jibu hoja tafathali.
 
magari yamekodishwa kubeba wafuasi, tujiulize nini maana yake? Watanzania wenzangu lazima tuziangalie siasa zetu kwa jicho la kiudadasi zaidi kwani nchi inaangamia sisi tunaendekeza siasa za kiitikadi. Tutafakari ni jinsi gani huyu mchwa anayetafuna nchi yetu kwa kupitia wakala wake ccm tutamuuondoaje.

wamekodi magari kusomba watu na kuwalipa...style kama za ccm hizi.
Kuthibitisha hilo. Kila kiongozi wa cuf aliyehojiwa na channel ten..anakimbilia kuzungumza kuwa umati mkubwa ni kithibitisho kuwa cuf haijafa, kwahiyo walitafuta watu ili kuonyesha kuwa cuf bado iko hai.
Siasa za kibongo kazi kweli!!!!!
 
Watu nI wengi sanaaaaaaaa watu wanatembea km zaid zaidi ya kilometa 60 mpaka usik huu bado msafara haujafika mwisho ndo kwanza upo kariakoo.maelfu ya wakaz wamejipanga barabarani kumpokea prof lipumba
 
kuna wengine walibebwa kwenye mafuso kutoka morogoro pwani wengine almanusra wapate ajali maeneo ya kibaha
 
Wingi wa kura ni fundisho tosha kwa chama chochote makini , pia mtaji wa kura ndo matarajio ya kila chama ili kushika hatamu,
Hebu weka tathimini ya idadi ya kura mnazopata tukianzia uchaguzi mdogo wa igunga mpaka ule wa nyumbani Zenji hadi huu wa arumeru mashariki mliosurrender.
Jibu hoja tafathali.

Kumbe busara unazo unajifanya kichaa mwanzoni???

a. Kura za CUF katika chaguzi za igunga zimepungua lakini katika chaguzi za uzini zimeongezeka..hiyo ni geo-politics za kawaida kabisa kwenye siasa, na chama kinafanya tathmini ya causes, ikiwemo mamluki kina HR na kundi lao ambao walihujumu chama igunga kwa kuuza wafuasi (utakumbuka ADC walishaisajili kabla ya kwenda igunga)..sasa wamepigwa chini wameanza kulialia wakishirikiana na chadema kuiua CUF lakini wapi...hawawezi

b. Kushiriki arumeru siyo strategy nzuri afadhali utumie hizo pesa kuongeza ustawi wa chama katika maeneo mengine; hii inatokana scarcity ya resources za chama kipi kigumu..

Chama kinapitia wakati mgumu lakini bado ni imara ina wabunge kutoka Tanganyika na Zanzibar wakuchaguliwa..tuna progress vema ..wenye chuki kama zako mtaliaaa weee, mtakufa mtaiacha CUF ikidunda
 
Haya mapokezi ya Prof. Lipumba yamefana sana. Bila shaka ni kutokana na promo kubwa sana iliyofanywa na vijana wake pamoja na uwepo wa Afande Sele.

Uwepo wa afande sele umesaidia sana kujaza watu, na hayo ndio matunda ya cuf kuungana na ccm. Wamewafundisha mbinu mbadala za kukusanya watu, ni kutumia wasanii wa muziki na vichekesho! Si ajabu wengi pamoja na kusombwa na malori watakuwa wamekwenda kumuona baba Tunda.

Angalau baba Tunda kajiongezea kipato siku ya leo. Cuf endeleeni kuwaongezea wasanii kipato kila mara, hata maalim seif akija buguruni muwaalike tmk wanaume watumbuize, mtafunika sana siku hiyo!
Mkuu Mwita twende mbele turudi nyuma mapokezi yamefana regardless kama afande alikuwepo ama la. Huwa tunashuhudia lundo la wanamuziki lakini turn up inakuwa ndogo lakini hapa ni Kamanda Sele tu lakini watu nyomi. Tuwape hongera zao Mkuu.
 
huo mshipa wa damu kichwani kwa afande sele ulivyosimama, ni uthibitisho kuwa ashagonga kitu cha arusha!!!
Mkuu hioyo lazima kama si cha Arusha basi mambo toka Tarime hayo! Nadhani Afande alipagawisha kwa kuwa akipanda jukwaa huwa anatema wosia kwa mafungu. Ni miongoni mwa watunzi wa mashairi wazuri sana hapa bongo hasa katika huu muziki wa kizazi kipya.
 
Hiki ni kizazi cha sasa.

lema3.jpg
 
Kumbe busara unazo unajifanya kichaa mwanzoni???

a. Kura za CUF katika chaguzi za igunga zimepungua lakini katika chaguzi za uzini zimeongezeka..hiyo ni geo-politics za kawaida kabisa kwenye siasa, na chama kinafanya tathmini ya causes, ikiwemo mamluki kina HR na kundi lao ambao walihujumu chama igunga kwa kuuza wafuasi (utakumbuka ADC walishaisajili kabla ya kwenda igunga)..sasa wamepigwa chini wameanza kulialia wakishirikiana na chadema kuiua CUF lakini wapi...hawawezi

b. Kushiriki arumeru siyo strategy nzuri afadhali utumie hizo pesa kuongeza ustawi wa chama katika maeneo mengine; hii inatokana scarcity ya resources za chama kipi kigumu..

Chama kinapitia wakati mgumu lakini bado ni imara ina wabunge kutoka Tanganyika na Zanzibar wakuchaguliwa..tuna progress vema ..wenye chuki kama zako mtaliaaa weee, mtakufa mtaiacha CUF ikidunda

bila shaka wewe ni JULIUS SUNDAY MTATIRO
 
CUF bwana kweli ni CCM tupu!
Hata tabia ya kubeba watu kwenye malori!

Na afande Sele kweli na akili zake amepewa nini hadi kwenda kwenye chama kichovu hivi!?

KIPI CHA AJABU Wana CUF waliokuja na magari kutoka mkuranga,kilwa ,handeni,rufiji,kibaha na kwingineko kwa mapenzi yao na kukodi gari kwa pesa zao wenyewe ni 5% na 95% ya wote wliokuwepo ni wanachama wa CUF Dar.SASA DHAMBI IKO WAPI .CUF haina tabia ya kukodi watu inawatu wakutasha sana kutikisa mji wakiamua.
 
afande bana mwaka jana alikuwa kwenye msafara wa kumsindikiza amos makala wa ccm kwenda kuchukua form ya ubunnge na kwenye yale matangazo ccm ya "mimi nimechangia wewe je?" alikuwepo leo namuona amevaa jezi ya kafu

kibiashara zaidi halafu anaonekana na stimu kuubwa kichwani nathani alilipuliza kabla...
 
Habari kutoka makao makuu ya chama cha wananchi CUF ni kuwa kimetumia milioni 150 kwa ajili ya kumpokea mwenyekiti wao prof Lipumba,matumizi inahusisha posho kwa viongozi mbali mbali,usafiri wa ndege kwa wajumbe kutoka Zanzibar na maeneo mengine ya Tanzania bara,wametumia pia kulipia Star tv matangazo ya live,pia pesa zingine wamepewa vijana na wazee wa chama hicho kwa ajili ya kujitokeza kwa wingi kumlaki prof Lipumba ili watu waone kuwa bado CUF inapendwa wakati ipo icu.
 
Back
Top Bottom