:cool2: Siku kadhaa zilizopita tuliambiwa Askofu kakobe anarejea kutoka korea na nchi za mashariki ya mbali, wananchi wa kundi lake walijitoza kwenda kumpokea.
Lipumba naye anatoka kuhemea wanakafu mnatakiwa kwenda kumpokea,
sasa sijui kuna uwiano gani kati ya kurudi lipumba na wanaCUF kwenda kumpokea, alivyoondoka aliaagwa? ama ndiyo kATIKA KUPIMA? CUF mmechemsha Lipumba hakuwa marekani kwa shughuli za chama ila kujikimu yeye na familia yake.
nendeni uwanja wa taifa mkaone mechi ya Simba na Toto angalau mkashushe stress za kufiwa na chama chenu mlichikipenda na sasa imebaki kaburi na mashada.
Asiyejua maana haambiwi maana haya kwa heri labda matafute mataji mpya lakini huu umekata.