Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Dar

Mkubwa hujasomeka....
 
shinyanga ni kaskazini?, mbeya je?Iringa nako, acha hizo mbowe anatisha hata mkitoa magamba mmechemsha tu
 
Hii inafanana sana na hii hapa chini
 
Attachments

  • nyerere_on_independence_day_1961-3_thumb.jpg
    5 KB · Views: 42
  • nyerere_on_independency_day_1961_thumb.jpg
    6.4 KB · Views: 42
Katika mapokezi hayo hakuna vurugu zilizotokea. Kumbe daima ni Polisi ndiyo wanaoanzisha VURUGU na kudanganya UMMA kuwa ni wafuasi wa CHADEMA.
NIMEKUPATA MKUU!
 
Dah! yani wewe bado unafikiri ni kaskazini tu Duuh! kazi kweli kweli!! nakuonea huruma kwa kuamini hivyo! lakini napenda kukufahamisha kuwa sasa CDM ni chama kiongozi. hao ccm wamebakia kuwa chama tawala tu sasa kama na wewe unafaidika na hayo magama ni haki yako kuamini hivyo bakia na upofu wako.
 
Sehemu niliyobold inanipa mashaka juu ya ufikiri wako!! Yaani kweli Mbowe anapendwa mikoa ya Kaskazini tena na walalahoi, basi bana wewe huna macho au umejizuia kwa maksudi kuelewa!
 
Kampe ushauri huo mmeo au aliyekutuma, Mbowe hahitaji na hatahitaji ushauri wa kipuuzi kutoka kwa mpuuzi kama wewe
 
FF inaelekea una mtindio wa akili. suala la mikoa ya kaskazini unalitoa wapi? Ningekutukana tusi baya hapa lakini naogopa ban!!! Hebu tuambie unalipwa Shs, ngapi na wana magamba kuja hapa kuandika upupu!!!!

Tiba
 
Tiba Huyu FF anajua hasa kitu anachoandika, kazi yake ni kuchangamsha jukwaa, tusiwe so positive minded tuwe constructive minded!!!!!!! Tusiangukie upande mmoja tuu, tuangalia na the other side, mawazo yake!!!!!!!
 
kadada hako nako......matatizo matupu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Any way, nimekuwa nafuatilia posts zako zote; nikagundua siyo great thinker ila ni shabiki fulani. Ni Haki yako pia.
 
Haaaa, unanchekesha! utajijuuuu!
 
kadada hako nako......matatizo matupu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Any way, nimekuwa nafuatilia posts zako zote; nikagundua siyo great thinker ila ni shabiki fulani. Ni Haki yako pia.

Mkishindwa hoja huwa mnaanza kuhaha.
 
Sehemu niliyobold inanipa mashaka juu ya ufikiri wako!! Yaani kweli Mbowe anapendwa mikoa ya Kaskazini tena na walalahoi, basi bana wewe huna macho au umejizuia kwa maksudi kuelewa!

Tusimshangae sana huyo FF yaani yy yupo kusini kwenye mpaka wa Msumbiji na TZ kwa hiyo anamaanisha anapendwa na mikoa ya kaskazini mwa yy alipo yaani TZ nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…