Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Dar

Hongera sana Mbowe kwa ku-renew dhamana na pole sana kwa kuswekwa "andar" kwa siku tatu, nakuasa tu, wewe ukiwa ni kiongozi wa chama na unaependwa na walalahoi wengi wa mikoa ya Kaskazini, siku zingine usicheze na Mahakama, fata nyayo za Slaa, mwenzako aliposikia anaitwa akaacha mambo yoote akaenda haraka kuripoti.

mama MS kazini:confused2:
 
mlala hoi mama yako
hongera sana mbowe kwa ku-renew dhamana na pole sana kwa kuswekwa "andar" kwa siku tatu, nakuasa tu, wewe ukiwa ni kiongozi wa chama na unaependwa na walalahoi wengi wa mikoa ya kaskazini, siku zingine usicheze na mahakama, fata nyayo za slaa, mwenzako aliposikia anaitwa akaacha mambo yoote akaenda haraka kuripoti.
 
1-1.jpg




AT THE RISK OF SEEMING REDICULACE TRUE REVOLUTIONARY IS GUARDED BY MY GREAT FEELING OF LOVE-CHADEMA
LETS TANZANIA CHANGE OUR MIND AND FIND OUR FUTURE
cONQUEST-2015 NEW VERSION
 
Eeeeeeeeeeeeeeeeh, Jamaa kanyuliwa juu?! Amepona kweli hapo kwa yote?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom