Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,701
- 9,779
Vina muda basi!!?
mbona kwangu imefungua...Jf app...imegoma kufungua picha
Ila ngoja nicheke tu ni pretend kama vile nimeona
Basi hizo picha ni selective mkuu...mbona kwangu imefungua...
Nipo hapa nazifanyia kazi hasa hasa hiyo ya kwanza hako kadada kamenichanga na kinguo chake haswaKuna maraia wataenda kupigia mgalala hizi picha
😄😄Duh, dunia inakwenda kasi sanaWatu tutachukua sheria mkononi kupitia hii picha. Elewa maneno "sheria mkononi".
Duh! Tutafika ila tutakuwa tumechoka sana😄😄Hii picha ya huyu dada na kinguo chake inanichanganya nafsi yangu sana .
Duh! Maake hapo kwanza ncheke😄😄Kuna maraia wataenda kupigia mgalala hizi picha 😎😎🚮🚮🤠