Huyu mama yupo vizuri sana
JANA alikua hapa ifakara kina mama walifurika mnoooo ilipendeza sana tukamwombea kwa MUNGU afike salama iringa
Huyu mama yupo vizuri sana
Mleta mada hii, sijui ni mtanzania au? inashangaza sana mke wa mtu kumwita mama yake. Hivi watanzania mnakipeleka wapi kiswahili chetu? Huyu ni mke wa Lowassa na si Mama Lowasa. Hili limekua tatizo sugu hapa tanzania kwa watu kuwaita wake za viongozi mama zao. Hebu jamani tuoneshe basi kuwa tanzania ndo chimbuko la kiswahili kwa kukienzi. Hainiingii akilini mke wa kiongozi kumwita mama yake! shame on you.
Wamama wa Ukawa wako katika hali ya uelewa mpaka unapata matumaini kuwa ni washauri wazuri katika familia zao;
View attachment 298528
View attachment 298529
Wakati huo huo upande wa pili wamama wa chama kongwe wameonyesha kuwa wao ni mahiri sana katika masuala ya mauno mauno na vituko vya ajabu visivyo staha kwenye familia;
View attachment 298532
View attachment 298533
Katika vitu ukawa wanajisahau ni Kutoa Elimu ya kupigia kura maana kuna watu wana hasira ila hawajawahi.kupiga kura
Ccm wanafanya hivyo ila sisi hatutoi Elimu
Yaani mke wangu ni ccm damu ila katika hili leo kwa mara ya kwanza ananiambia hao wanaofanya huo upuuzi majukwaani ni wapumbafu hawajitambui dah mpaka nimecheka imenibidi nimuonyeshe uyu mmama anaepiga pushup dah akasema angekua katika jimbo la uyo mmama japo yeye ni ccm wala asingempigia mtu anayeleta mdhaha katika mambo ya maendeleo ya taifa
Katika vitu ukawa wanajisahau ni Kutoa Elimu ya kupigia kura maana kuna watu wana hasira ila hawajawahi.kupiga kura
Ccm wanafanya hivyo ila sisi hatutoi Elimu
mama nimemkubali mikutano yake idadi ya watu ni sawa kabisa na zile za Magufuli! Lowasa tu ndo Level nyingine!
Katika vitu ukawa wanajisahau ni Kutoa Elimu ya kupigia kura maana kuna watu wana hasira ila hawajawahi.kupiga kura
Ccm wanafanya hivyo ila sisi hatutoi Elimu